Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Ndugu hii amri ilitolewa na JWTZ na inamgusa kila mmoja wetu hapa nchini. Labda kama na wewe unaishi nje ya nchi kama huyu ndugu anayedai yuko GOMA. Pili nakushauri uachane na huu utamaduni wa kutafuta mchawi nje ya nchi kwa kila uamuzi tunaoufanya kama nchi. Mimi simo kati ya watu wanaoamini kuwa tumesukumwa na agenda za kimataifa kwenda Kongo. Ninaamini kuwa Serikali yetu ilifanya maamuzi ya kwenda Kongo kwa kuzingatia hali halisi ya mambo ilivyo huko na kwa manufaa ya nchi yetu na bara la Afrika kwa ujumla wake.Iyo amri labda umepewa mwenyewe. Muache mdau aelimishe watu kuhusu mgogoro huu ili wajue umuhimu wa kuruhusu jeshi letu kusaidia huko au tunabebwa na agenda za kimataifa
Nilikuwa nakupa angalizo tu hasa kwa kuzingatia kuwa umetueleza kuwa upo nje ya nchi na hivyo inawezekana hukuwa na taarifa na amri ya JWTZ. Ila kama unadhani kuwa una nia njema na itakuepusha na matokeo ya kueleza mambo ya vita huko Goma wewe endelea tu kuvolunteer taarifa za vita.ninafanya hivi kwa nia njema na nadhani sijaharibu hali ya hewa
umesema m23 wapo bunagana mpakani na uganda ikiwa na maana wanaweza kukimbilia uganda na sio rwanda.kwani wamesambaa kiasi gan?
HONGERA;-FLASH HIDER TUMEFAHAMU MENGi thumbup!
Ndugu hii amri ilitolewa na JWTZ na inamgusa kila mmoja wetu hapa nchini. Labda kama na wewe unaishi nje ya nchi kama huyu ndugu anayedai yuko GOMA. Pili nakushauri uachane na huu utamaduni wa kutafuta mchawi nje ya nchi kwa kila uamuzi tunaoufanya kama nchi. Mimi simo kati ya watu wanaoamini kuwa tumesukumwa na agenda za kimataifa kwenda Kongo. Ninaamini kuwa Serikali yetu ilifanya maamuzi ya kwenda Kongo kwa kuzingatia hali halisi ya mambo ilivyo huko na kwa manufaa ya nchi yetu na bara la Afrika kwa ujumla wake.
Mi nasema siku zote kuwa hawa M23 wanakuwa na jeuri kutokana na kuungwa mkono na Uganda na Rwanda. Kama kweli kabila ameongeza nguvu jeshi lake basi awapige Rwanda toka mpakani mpaka Kigali na ikiwezekana wamkamate Kagame na kumuua ili iwe fundisho to other perpetrators in the region. Ukanda wetu hauwezi kuwa na amani tukiwa na Museveni na Kagame hata siku moja, hapa kilichobaki ni kumuua tu Kagame na kuwapa wengine mafunzo.
Mkuu hata ukitafuta mchawi ndani, ukweli utabaki pale pale kuwa masuala mengi ya ndani yana mizizi toka mataifa ya nje. Na huu utamaduni haujaanza leo, tangu mlivyokubaliana na sera za IMF na World Bank za kufufua uchumi miaka ya 80 mpaka leo, maamuzi ya nchi yana mikono ya wageni. Angalia Bajeti ya nchi inawategemea kiasi gani wageni hawa, je unadhani wanawapa development bugdet kwa maslahi gani? Kwenye huu mgogoro wa DRC, majeshi ya UN yamekaa kule kwa zaidi ya miaka 10, umeshawahi kusikia wameingia front kupambana na waasi? Hapana! Je ni kwanini? na kwanini JWTZ waende tu ndani ya mwezi na kuzama front kupambana na waasi head to head? Majeshi ya SA pia yalikuwepo lakini JWTZ wali-take leading role! Tafuta taarifa za ndani, kuna kitu utabadili kwenye unachoamini. Kuna vitu vingi vimejificha hapa na havipo na havitakuja kuwa straight hata siku moja.
Mkuu unataka kusema wanajeshi wa tanzania wapo frontline wakipambana na m23? mbona naskia wanajeshi wetu kazi yao ni kulinda raia wa goma wasishambuliwe?. naomba ufafanuzi. Mia
Mbona Viongozi wengi sana!!!!!!!!!? kuna kitu sio cha kawaida hapa kimejificha!! loh...!
Mtajibeba mwaka huu. Vipi lile dili la kuwakamata na kuwalazimisha vijana kwenda kuwasaidia M23 limeshindwa? Watanzania ni wakali wa ujasusi. Mtakoma mpaka muache uhuni wenu, tunajua kila linaloendelea Ikulu yenu. Hata PK akijamba, vijana wetu wanajua kwamba PK leo kajamba muda fulani. Unacheza na wa-Tz. Piga haoooooooooooo intarahamwe na wanyamulenge! Na hatukubali peace talk yoyote from now mpaka PK akimbie ofisi
Asante sana. Naona una uwezo mkubwa wa kiuchambuzi kuliko mfanya biashara wa kawaida. Naomba utujuze wana jamvi. Hivi kile kikundi cha FDLR kiko vitani pia? Na kama ni hivyo, kina pambana na nani? na kama siyo hivyo kiko wapi na kina fanyanya nini? Na pia kina ukubwa na uwezo gani kijeshi na kisiasa? Je, kina mahusiano ya namna gani na raia wa drc? Kikiwa ndani ya DRC kinajihusisha na visa vya ubakaji na mauaji ya wanawake, watoto na vikongwe NA pia kutumia askari watoto kama ilivyo kwa M23? Tujuze kaka
Mbona Viongozi wengi sana!!!!!!!!!? kuna kitu sio cha kawaida hapa kimejificha!! loh...!
Ahsante mkuu kwa thread hii.Mimi pia ni mtz nipo happa gisenyi mpakani mwa goma( Drc ) na rwanda.Namjibu kaka yangu kuwa ubalozi wa drc upo wazi kigali haujafungwa
Mi nasema siku zote kuwa hawa M23 wanakuwa na jeuri kutokana na kuungwa mkono na Uganda na Rwanda. Kama kweli kabila ameongeza nguvu jeshi lake basi awapige Rwanda toka mpakani mpaka Kigali na ikiwezekana wamkamate Kagame na kumuua ili iwe fundisho to other perpetrators in the region. Ukanda wetu hauwezi kuwa na amani tukiwa na Museveni na Kagame hata siku moja, hapa kilichobaki ni kumuua tu Kagame na kuwapa wengine mafunzo.
mods naombeni mu i sticky hii thread.. Tuna mengi ya kujifunza. Na hakikaka haya ndo mambo ya kujaldili tunapata ELIMU.
HAKIKAKA NAKUPONGEZA FLASH HIDER.
UMEFANIFANYA NIANZE TEMBELEA HAPA JUKWAA KWA ELIMU.
SI KILA SIKU TUNAWAJADILI MAFISADI YALIYOJAZANA CHADEMA NA CCM.
PLEASE MODS, STICKY THIS..cc Invisible