20 yrs mbona ni mingi sana?Am ready to reap even after 20 years from now so am not longer afraid as longer as I know what's at the end
Broker mzuri wa stock ni yupi anakubali tz.Habari zenu wanajamii forum!
Kama kichwa cha habari kilivyo nipo hapa kuisaidia umma Wa watanzania kuhusiana na biashara hizi ambazo zimeibuka ivi karibuni kwetu huku lakini ila huko nje ni biashara za muda mrefu sana tokea huko karne ya 18.
Sie tumezipata kutokana na ujio Wa simu janja ikiwa imeunganishwa na internet.
Watu wanajua kuwa kuna upigwaji kweli Upo kwa watu wengine kuwaambia wengine wao ni Guru wanawapiga pesa.
Kama tulivyoshuhudia huko kama miaka mitatu inapita ivi.
Ishu hii ni halali sema inatakiwa upate MTU sahihi sana akuelekeze ila siye mwenye kuweka Hela mbele.
Ukweli ni kuwa unaweza ukafanya kama kamari na unaweza ukaifanya kama biashara zingine tu.
Na uzuri Wa hii kuijua hakuna cha TRA,wateja,bosi,wala nani yaani hakuna kubembeleza mteja.
Pia kumbuka ni fani kama fani zingine zilivyo jamani mfano kuwa mfanyabiashara mkubwa ana uzoefu Wa kutosha na sio kuwa amelala na kuamka akajikuta hapo alipo.
Ni kama ilivyo sheria, engineering, Doctor of Medicine, mhasibu ama mwalimu.so hakuna ulelemama kuwa kuna pesa nyepesi kama wengi wanavyoinadi.
Binafsi nimejitoa kwa biashara hii hata kama itakuja kunilipa huko mbele kwa miaka 20 tokea sasa siogopi mana hakuna mafanikio cheap tunavyopenda binadamu.
Ila ni nzuri ukiijua unachofanya.
Biashara hii ni suala zima kuhusu psychology.
Pia haitakiwi ufanye live trades before ya demo trading na umeki faida kwa demo account kama mwaka mzima ndo uamue kuingia huko kwa live trades.
Wengi wanafundisha watu kwa kuwapotosha kuwa kuna pesa laini.
Hii fani sintoiacha mana najua hata wanangu nitawafundisha maarifa yake so yaweza kutokea kwao matunda.
Yaani unaipofanya tegemea miaka mitano ama kumi huko mbeleni kabisa usiwe na haraka na utoe mawazo ya Hela kichwani.
Usiwe kama students eti ni fani gani yenye kulipwa pesa nyingi.
Binafsi napenda niwe Nina interact na watu wenye passion nayo mana shuleni huwezi ukakaa mwenyewe. Pia unawafundisha wasio ijua kuna vitu unaimprove. Kwa wale walikuwa wanawaelekeza wenzao shuleni nadhani unajua unaletewa swali hulijui ila unashangaa unalijibu na unapata solutions fasta sana.
Hapana sipo huko kaka. Jaribu kugogu labda utaipata. Ila mie nimefocus kwa bonds,stocks,CFD,etfs ,indexes, commodities,and related ila cryptocurrency naziogopa mana haziona fundamentals kiufupi
Kwamba mkuu ununue hizo stocks through local brokers kama ambavyo wanasimamia kuuza bonds ama stocks za makampuni ya hapa nyumbani ama ni nini unaamanisha.
Thank you ndugu. Nimeonyesha ni jinsi gani nilivyo tayari mkuu to pay price of trading. Do you success can not be bought but earned.20 yrs mbona ni mingi sana?
3 years is enough (Part time)
Year 1: Ingia darasani, fundishwa basics, intermediate and advanced course
Year2: Put your knowledge on test under supervision
Year3: Put all together-uliyofundishwa na uliyojifunza; be consistent
Year4: Profit on your way.
Hii plan inaweza kukufaa ndani ya miezi 12 pia (Full time)
Q1:Jan-Mar
Q2:Apr-Jun
Q3:Jul-Sep
Q4: Oct-Dec
By January 2022 you will be consistent profitable
Nd mbona yapo kaka. Zama hata benki ya crdb zipo utazionaKuna bonds za makampuni hapa Tz sokon?
Best wishesThank
Thank you ndugu. Nimeonyesha ni jinsi gani nilivyo tayari mkuu to pay price of trading. Do you success can not be bought but earned.
Am not afraid or scared with the price of trading career aka speculation career.
Yes thru local brokers..
Au international broker wenye ofis hapa Tz
Jaribu Solomon brothers ama ingia kwa mabenki pia wanadili sana na hizo securities assets ndugu uwaulize wanaziuza sana.Broker mzuri wa stock ni yupi anakubali tz.
Best wishes
Jaribu Solomon brothers ama ingia kwa mabenki pia wanadili sana na hizo securities assets ndugu uwaulize wanaziuza sana.
Unatumia Pepperstone and fxchoice ila napigana nijiandikishe na ICMarket. I never seen best broker ever kama huyu mana ni pure ecn brokers for financials securities.Wewe unatumia broka gani kununua stocks , naongelea stocks za marekan. Umenijibu kama mtu ambaye hatrade stocks.
Tumia amitradeWewe unatumia broka gani kununua stocks , naongelea stocks za marekan. Umenijibu kama mtu ambaye hatrade stocks.
Unajua unachokiongea kweli? Hao mabroker unaowataja ni fx na sio stock.Unatumia Pepperstone and fxchoice ila napigana nijiandikishe na ICMarket. I never seen best broker ever kama huyu mana ni pure ecn brokers for financials securities.
Ubaya don't accept Tanzania traders
Hajui chochote kuhusu stock market braza. Lait ungekuwa unajua stock market na una trade ungejua mabroker wa stock.Tumia amitrade
Sijakuelewa hapa, unanijibu mimi au jamaa aliyeuliza brokers wa stocks?Hajui chochote kuhusu stock market braza. Lait ungekuwa unajua stock market na una trade ungejua mabroker wa stock.
Utatumia mbinu gani sasa kama Tanzania hakubaliUnatumia Pepperstone and fxchoice ila napigana nijiandikishe na ICMarket. I never seen best broker ever kama huyu mana ni pure ecn brokers for financials securities.
Ubaya don't accept Tanzania traders