Uliza swali lako kuhusu CFD, Options, Bonds, Stocks and Currency Trading (Forex)

Uliza swali lako kuhusu CFD, Options, Bonds, Stocks and Currency Trading (Forex)

Kwa kuongezea tu unahitaji masaa 10,000 ya ku practise ili kua guru kwenye trading
It's not principle ndugu inategemeana na kichwa cha kitu mwenyewe kilivyo. Pia tunatofatiana akili na uwezo mwingine pia.
Ila ingawa kiukweli mpaka kutengeneza faida angalau ni miaka mitano mana ni career kama ilivyo career zingine ndugu
 
pia hizi mambo inategemea kwa first tyme utatua kwenye mikono ya nani yaani mentor utayeanza nae km ni mzuri na anauelewa mzuri ndio bahati yako ila ukikutana na wajanja wajanja utasota sana..
 
pia hizi mambo inategemea kwa first tyme utatua kwenye mikono ya nani yaani mentor utayeanza nae km ni mzuri na anauelewa mzuri ndio bahati yako ila ukikutana na wajanja wajanja utasota sana..
Sure umenena mana wengine wanakuingiza chaka wanakimbilia na ile IB contract, ama wameshalambwa na za USO ndo wanakimbilia kufundisha Kumbe hawana Ilo lengo Bali wamekula za USO ivyo wanategemea kujipatia kipato kupitia hizo teachings.
Mie napenda kufundisha mana unapofundisha unajikuta unajua kitu ambacho hata ulikuwa hukijui. Ama unajikuta unakaza sana ili umuelekeze pia forex huwa ni lonely professional so through teachings una interact na watu mnapeana uzoefu
 
mkuu naomba kampani i think tunaweza kudicuss mambo mengi ambyo ni faida kwa career yetu hii ..nimekuinbox
 
Stocks ni kama mfano kwa nje ambao haya mambo yameendelea Sana mana sie wengine kila kitu tunakopi tokea kwao.
Mfano wake ni; Apple, Amazon,alibaba,Bac,BIdu,googl ntflx ,Tesla,twtr na Microsoft.
Kwa hapa nyumbani ni kama TWIGA cement, crdb,NMG,swala,DCB, mkcb,tbl,tpcc na nyinginezo nyingi
Hii ni elimu ambayo inatakiwa umpatie mwanao akiwa mdogo sana.
Hapa ukiwa mwekezaji unanunua hisa za kampuni husika ambayo unaona kuwa kulingana na mwenendo Wa uchumi itafanya vizuri. Mfano halisi awamu hii ujenzi sana umefanyika ivyo hisa za kampuni ya TWIGA lazima zipande thamani yaani kiwanda kitapata faida. Na ivyo na ile gharama ya uwekezaji wako lazima ipande kama mfano ulinunua hisa moja sh 20k TZS utajikuta imekuwa 23k TZS ivyo utapata faida ya sh 3 kama umenunua hisa zako hata laki ama Milioni angalia utakuwa una sh ngapi.

Hii Mara nyingi inakuja kuwa unajikuta una Hela afu huwezi kuifanyia biashara. Kuna watu wanakula faida za hisa huko ulaya walizinunua mababu zao wao ni kupata gawio tu.

Nipe maelekezo mtu Yuko Tz ana pesa za shilingi
Anataka kununua stocks au bonds za Amazon
Au Tesla..hatua Kwa hatua..

Kingine Kati ya NMB na CRDB stocks zipi zimeleta faida miaka mitatu Hadi sasa?
 
S
Nipe maelekezo mtu Yuko Tz ana pesa za shilingi
Anataka kununua stocks au bonds za Amazon
Au Tesla..hatua Kwa hatua..

Kingine Kati ya NMB na CRDB stocks zipi zimeleta faida miaka mitatu Hadi sasa?
Swali LA kwanza naanza kulijibu hivi kama ifuatavyo.
Mfano unazo 25M TZS unazinunua kupitia kwa brokers ambao wako certified na mamlaka ya nchi husika.
Unadeposit Hela kwenye akaunti yako ambayo umeifungua na huyo wakala Wa kuuza financial securities/ assets.
Kufungua iyo akaunti atakuomba kitambulisho chako pia na uthibitisho Wa makazi yako.
Ukishafungua iyo akaunti Mana lazima a verify I'd zako ziwe zimekubalika.
Unadeposit Hela kwa visa card ya benki yoyote kama vile ununuavyo bidhaa mtandaoni na hakuna makato.
Kikubwa kama unataka kuwekeza dola alfu kumi unaselect afu rate itakuwepo internationally mkuu.
Mana rate ya viza ni tofauti na hizi tuzionazo kwa forex commercials aka bureau changes ama kwenye mabenki yetu.
Ukishaweka huko pesa ukaituma ika reflect huko ndugu utakuwa tayari kuzinunua ama kuwekeza electronically.
Na utakuwa unaona direct kama share zikipanda ama zikishuka utakuwa unaziona unavyopata hasara ama faida.

Ukishafungua akaunti watakutumia link ambayo utaipakua kwa ajili ya trading ya hizo financial assets.
Hiyo apps pia waweza ipata play store ni mt4/mt5 kama unayo utapewa login details ambazo utakuwa unazitumia Ku login kwa akaunti yako.
Hiyo apps ndo wanayoitumia brokers wengi sana huwa wanailipia ila wewe mteja hauilipii mkuu.
Kama kuna sehemu hujaelewa uliza tena
 
Pia swali lako LA pili kuhusu stocks za benki gani ambazo zilifanya vizuri kati ya crdb ama NMB Ilo kwa saivi sinalo jibu at this moment ndugu.
Ila Nina imani ukiingia kwa website zao ukitaka kuzicheki izo details utazipata Nina uhakika mana wanajinasibu kuwa ni public incorporated company
Nipe maelekezo mtu Yuko Tz ana pesa za shilingi
Anataka kununua stocks au bonds za Amazon
Au Tesla..hatua Kwa hatua..

Kingine Kati ya NMB na CRDB stocks zipi zimeleta faida miaka mitatu Hadi sasa?

Nipe maelekezo mtu Yuko Tz ana pesa za shilingi
Anataka kununua stocks au bonds za Amazon
Au Tesla..hatua Kwa hatua..

Kingine Kati ya NMB na CRDB stocks zipi zimeleta faida miaka mitatu Hadi sasa?
 
S

Swali LA kwanza naanza kulijibu hivi kama ifuatavyo.
Mfano unazo 25M TZS unazinunua kupitia kwa brokers ambao wako certified na mamlaka ya nchi husika.
Unadeposit Hela kwenye akaunti yako ambayo umeifungua na huyo wakala Wa kuuza financial securities/ assets.
Kufungua iyo akaunti atakuomba kitambulisho chako pia na uthibitisho Wa makazi yako.
Ukishafungua iyo akaunti Mana lazima a verify I'd zako ziwe zimekubalika.
Unadeposit Hela kwa visa card ya benki yoyote kama vile ununuavyo bidhaa mtandaoni na hakuna makato.
Kikubwa kama unataka kuwekeza dola alfu kumi unaselect afu rate itakuwepo internationally mkuu.
Mana rate ya viza ni tofauti na hizi tuzionazo kwa forex commercials aka bureau changes ama kwenye mabenki yetu.
Ukishaweka huko pesa ukaituma ika reflect huko ndugu utakuwa tayari kuzinunua ama kuwekeza electronically.
Na utakuwa unaona direct kama share zikipanda ama zikishuka utakuwa unaziona unavyopata hasara ama faida.

Ukishafungua akaunti watakutumia link ambayo utaipakua kwa ajili ya trading ya hizo financial assets.
Hiyo apps pia waweza ipata play store ni mt4/mt5 kama unayo utapewa login details ambazo utakuwa unazitumia Ku login kwa akaunti yako.
Hiyo apps ndo wanayoitumia brokers wengi sana huwa wanailipia ila wewe mteja hauilipii mkuu.
Kama kuna sehemu hujaelewa uliza tena

Hakuna local brokers wanaoweza simamia hili kama Wana vyo simamia local stocks?
 
Kwamba mkuu ununue hizo stocks through local brokers kama ambavyo wanasimamia kuuza bonds ama stocks za makampuni ya hapa nyumbani ama ni nini unaamanisha.

Hakuna local brokers wanaoweza simamia hili kama Wana vyo simamia local stocks?
 
Uko vizuri kamanda...Uzi umenimalizia popcon
Yaani ndugu napenda niwaelekeze watu ili wasipigwe. Mana watu wanadanganywa kuwahi kudeposit Hela na huku hawajajua Wa nachokifanya ni nini. Hapo jamaa wana organize na brokers matapeli wanawaibia watu wasioijua kwa IB contract.
Hii ishu ni ukweli ila ni kama professional kama professional zingine hakuna free lunch you've to dedicate your full commitment yaani kuliko unavyowaza.
Huwezi cheki video YouTube na kusoma VITABU kama vitano afu ukajua kujenga daraja eti tayari umekuwa Engineer.
Narudia tena Trading is professional like any other professional.
So don't expect to be rich overnight.
 
Habari zenu wanajamii forum!

Kama kichwa cha habari kilivyo nipo hapa kuisaidia umma Wa watanzania kuhusiana na biashara hizi ambazo zimeibuka ivi karibuni kwetu huku lakini ila huko nje ni biashara za muda mrefu sana tokea huko karne ya 18.

Sie tumezipata kutokana na ujio Wa simu janja ikiwa imeunganishwa na internet.

Watu wanajua kuwa kuna upigwaji kweli Upo kwa watu wengine kuwaambia wengine wao ni Guru wanawapiga pesa.
Kama tulivyoshuhudia huko kama miaka mitatu inapita ivi.

Ishu hii ni halali sema inatakiwa upate MTU sahihi sana akuelekeze ila siye mwenye kuweka Hela mbele.

Ukweli ni kuwa unaweza ukafanya kama kamari na unaweza ukaifanya kama biashara zingine tu.

Na uzuri Wa hii kuijua hakuna cha TRA,wateja,bosi,wala nani yaani hakuna kubembeleza mteja.

Pia kumbuka ni fani kama fani zingine zilivyo jamani mfano kuwa mfanyabiashara mkubwa ana uzoefu Wa kutosha na sio kuwa amelala na kuamka akajikuta hapo alipo.

Ni kama ilivyo sheria, engineering, Doctor of Medicine, mhasibu ama mwalimu.so hakuna ulelemama kuwa kuna pesa nyepesi kama wengi wanavyoinadi.

Binafsi nimejitoa kwa biashara hii hata kama itakuja kunilipa huko mbele kwa miaka 20 tokea sasa siogopi mana hakuna mafanikio cheap tunavyopenda binadamu.

Ila ni nzuri ukiijua unachofanya.

Biashara hii ni suala zima kuhusu psychology.

Pia haitakiwi ufanye live trades before ya demo trading na umeki faida kwa demo account kama mwaka mzima ndo uamue kuingia huko kwa live trades.

Wengi wanafundisha watu kwa kuwapotosha kuwa kuna pesa laini.

Hii fani sintoiacha mana najua hata wanangu nitawafundisha maarifa yake so yaweza kutokea kwao matunda.

Yaani unaipofanya tegemea miaka mitano ama kumi huko mbeleni kabisa usiwe na haraka na utoe mawazo ya Hela kichwani.
Usiwe kama students eti ni fani gani yenye kulipwa pesa nyingi.

Binafsi napenda niwe Nina interact na watu wenye passion nayo mana shuleni huwezi ukakaa mwenyewe. Pia unawafundisha wasio ijua kuna vitu unaimprove. Kwa wale walikuwa wanawaelekeza wenzao shuleni nadhani unajua unaletewa swali hulijui ila unashangaa unalijibu na unapata solutions fasta sana.
Trading options, commodities, indexes na Forex ndio hasa msingi wa capital/financial markets!

Nikutakie heri kwenye safari yako. Remember, THE PATH FOR SUCCESS IS LONG!
 
Trading options, commodities, indexes na Forex ndio hasa msingi wa capital/financial markets!

Nikutakie heri kwenye safari yako. Remember, THE PATH FOR SUCCESS IS LONG!
Am ready to reap even after 20 years from now so am not longer afraid as longer as I know what's at the end
 
Sijakuelewa mkuu π unamaanisha nini
π/"Pie" ni cryptocurrency mpya mpk sasa iko wengi wanaifanyia "mining" uzuri ni kwamba mtu yeyote kwa simu yake anaeza fanya mining ikiwa una smartphone au computer, binafsi nlishindwa kusignup, nlidhani upo humo pia mkuu
 
Hapana sipo huko kaka. Jaribu kugogu labda utaipata. Ila mie nimefocus kwa bonds,stocks,CFD,etfs ,indexes, commodities,and related ila cryptocurrency naziogopa mana haziona fundamentals kiufupi
 
Back
Top Bottom