Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,414
- 2,181
- Thread starter
-
- #101
Hao ni MBA wanaokaa kwenye shina la nywele. Tuwasiliane kwa 0713-039875 nikupatie dawaMm natatzo la kuwashwa sana asa kichwa ninapo pata joto nawashwa mno kichwa kwenye jua ndo tabu kabxa sas kwa sas naon tatzo linazd mpk kwenye ngoz naanza kuwashwa japo kwa mbal mpka nahs jua kua adui yangu.
Kwa kuwa una ngozi ya mafuta, unahitaji bidhaa zenye lemon au zisozidisha mafuta, tuwasiliane kuna sabuni natengeneza za udongo, walotumia zimewasaidiaNina ngozi yenye mafuta sana sana usoni. Nina miaka zaidi ya 10 sijapaka mafuta usoni. Lakini jua likiwaka ni kama nimejipaka Vaseline. Ushauri wako ni upi kwa sabuni na vipodozi vya ngozi ya aina hii? Angalizo ni kuwa visiwe vileeee vinavyochubua uso. Sijichubui. Asante
Mkuu nina tatizo kama la kwako,ukipata tiba naomba unitaarifu na mimi nipate.Nasumbuliwa na vidonda kichwan kwenye shina la nywele nimetumia dawa nyingi sana vinapotea na kurudi sometime vinatoa had damu nakuta damu kwenye mto...ni kama vile vipele vidogo vidogo baadae vinaiva vinatoa damu au usaha..!... Vimenisumbua kwa miaka mingi..dawa yake ipo?
Unga wa Liwa unaweza kutumika badala ya natural clay?TIPS ZA KUONDOA WEUSI WA MAKALIO, MAPAJA NA USO
3.GANDA LA CHUNGWA NA ASALI AU NATURAL CLAY
Kama mnavyojua machungwa yana vitamin C, na hivyo ukichukua ganda la chungwa pamoja na asali, mchanganyiko wake pia unaondoa weusi. Fuata step hizi::
Chukua ganda la chungwa na kijiko kimoja cha asali.
Kamua hilo ganda maji yake yangie kwenye asali.
Kausha nakusaga hilo ganda kisha poda yake ichanganye na asali
Paka mchanganyiko huo katika sehemu yenye weusi, kaa kwa muda wa dakika 15
Osha na maji ya kawaida hadi kugandaganda kupotee.
Kama huna muda wa kuandaa mchanganyiko huu tuwasiliane, nikupe natural clay
Mkuu nisaidie nina tatizo la mba kichwani ni sugu aisee. Yaani hata ninyoe upara zikiota nywele mba zinajaa hadi nakua kama kichwani nimeweka unga. msaada please maana zinswasha kinomaTIPS ZA KUONDOA WEUSI WA MAKALIO, MAPAJA NA USO
3.GANDA LA CHUNGWA NA ASALI AU NATURAL CLAY
Kama mnavyojua machungwa yana vitamin C, na hivyo ukichukua ganda la chungwa pamoja na asali, mchanganyiko wake pia unaondoa weusi. Fuata step hizi::
Chukua ganda la chungwa na kijiko kimoja cha asali.
Kamua hilo ganda maji yake yangie kwenye asali.
Kausha nakusaga hilo ganda kisha poda yake ichanganye na asali
Paka mchanganyiko huo katika sehemu yenye weusi, kaa kwa muda wa dakika 15
Osha na maji ya kawaida hadi kugandaganda kupotee.
Kama huna muda wa kuandaa mchanganyiko huu tuwasiliane, nikupe natural clay
Sijawahi utumia huu unga wa liwa, hivyo sina hakika juu ya uwezo wake wa tiba.Unga wa Liwa unaweza kutumika badala ya natural clay?
Tuwasiliane kwa 0713-039875 nipate maelezo zaidiMkuu nisaidie nina tatizo la mba kichwani ni sugu aisee. Yaani hata ninyoe upara zikiota nywele mba zinajaa hadi nakua kama kichwani nimeweka unga. msaada please maana zinswasha kinoma
Karibu sanaUnga wa Liwa unaweza kutumika badala ya natural clay?
Liwa sana sana inasaidia machunusi usoni,sidhani kama unaweza kusubstitute na hyo natural clay..Unga wa Liwa unaweza kutumika badala ya natural clay?
Hii sina ,waone muhimbiliNaomba tiba ya pumu ya ngozi
pole sana, hawa ni fangasi wameathiri mzizi wa nywele. tumia natural clay ambayo tumetibia wengi humu jf na fbNilivaa kofia chafu kutokana na mazingira niliyokuwa.. Na wakati huo nilikuwa nanyoa nywele zote ila siku nilipoacha kunyoa nywele zikaota nikagundua kuna madoa yamejitokeza kichwani na hapo kwenye madoa nywele zimegoma kuota leo ni mwezi wa tatu.. Pako kama kipara hakuna hata dalili za kuota nywele.. Hii ni shida gani na sijawahi kutokewa na ishu kama hiyo..View attachment 841314
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaelewa ndugu, ukiweza ntumie picha ya eneo lenye tatizoWrite your reply...mkuu vitundu vya kwenye ngozi sehemu z juu mashavuni nitaviondoaje ?
Natural clay nini nini na naipata wap? Na matumizi yake yanakuaje naomba unosaidie kufahamu hilo...pole sana, hawa ni fangasi wameathiri mzizi wa nywele. tumia natural clay ambayo tumetibia wengi humu jf na fb
Huu udongo ni natural 100% na unasaidia sana matatizo yote yanayohusiana na ngozi.Natural clay nini nini na naipata wap? Na matumizi yake yanakuaje naomba unosaidie kufahamu hilo...