Uliza swali lolote juu ya afya ya ngozi

Uliza swali lolote juu ya afya ya ngozi

Naomba msaada wa tiba kwenu wataalamu wa afya. Nina vipele kichwani ambavyo haviponi mwaka mmoja sasa tangu vianze. Nimeshapewa tiba mbalimbali bila mafanikio kama vile cream za kujipaka, vidonge na shampoo za kuogea. Nilipima gonjwa la UKIMWI nikakuta Niko safi.
GNishaurini dawa wakuu ili nipone. Kabla ya kutokea vipele hivyo nilikuwa nasumbuliwa na mba kwa kipindi kirefu.
 
niliwah kuwa na tabia ya kuwa kujizonga tishu kwenye uume kutokana na wasisi wa majiji baada ya kutoka chooni, nilikua nikifanya ivo mpaka ninapohisi pamekauka. Mda mwengine nikijisahau mpaka kufika jioni mpaka unakuta ile tishu au toilet paper imeganda na ngozi. ikafika mda ikawa nikijigusisha tishu au toilet paper tu nahisi maumivu ya mchonoto. Nikaacha kabisa hiyo tabia na miaka imepita. Lakini mpaka hii leo ikitokea hata bahati mbaya kugusisha Toilet paper na uume nahisi maumivu.
Naomba msaada juu ya hili. hofu yangu ni kuja kupata maradhi au kua na dalili za maradhi.
 
Nikivaa viatu na soksi napata joto sana ambalo linapelekea fangasi, sijajua nitumie dawa ipi
 
1525018666571.jpg
 
Naomba msaada wa tiba kwenu wataalamu wa afya. Nina vipele kichwani ambavyo haviponi mwaka mmoja sasa tangu vianze. Nimeshapewa tiba mbalimbali bila mafanikio kama vile cream za kujipaka, vidonge na shampoo za kuogea. Nilipima gonjwa la UKIMWI nikakuta Niko safi.
GNishaurini dawa wakuu ili nipone. Kabla ya kutokea vipele hivyo nilikuwa nasumbuliwa na mba kwa kipindi kirefu.
ntumie picha kwenye 0713-039875 ya hivyo vipele
 
niliwah kuwa na tabia ya kuwa kujizonga tishu kwenye uume kutokana na wasisi wa majiji baada ya kutoka chooni, nilikua nikifanya ivo mpaka ninapohisi pamekauka. Mda mwengine nikijisahau mpaka kufika jioni mpaka unakuta ile tishu au toilet paper imeganda na ngozi. ikafika mda ikawa nikijigusisha tishu au toilet paper tu nahisi maumivu ya mchonoto. Nikaacha kabisa hiyo tabia na miaka imepita. Lakini mpaka hii leo ikitokea hata bahati mbaya kugusisha Toilet paper na uume nahisi maumivu.
Naomba msaada juu ya hili. hofu yangu ni kuja kupata maradhi au kua na dalili za maradhi.
pima mzio (allegy)
 
Mm natatzo la kuwashwa sana asa kichwa ninapo pata joto nawashwa mno kichwa kwenye jua ndo tabu kabxa sas kwa sas naon tatzo linazd mpk kwenye ngoz naanza kuwashwa japo kwa mbal mpka nahs jua kua adui yangu.
 
IMG_20180131_214504.jpg
Msaada tafadhari, hvi huuni ugonjwa gani ametembea kila baadhi ya hospitali lakini hapewi majibu ya kueleweka.
 
Pole kwa tatizo ndugu.Unahitaji upake Aunty Zainab natural clay kila asubuhi kukukinga na miozi ya jua,baada ya muda utaacha
 
Back
Top Bottom