Roca fella
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 2,077
- 4,152
Watanzania wengi wamekuwa wakipata taabu kuifahamu FREEMASONRY Sasa utaenda kuifahamu kwa undani ikiwa utaleta maswali yenye tija, msingi, uhalisia hivyo utapata majibu kwa usahihi kabisa.
Huu ni ukumbi wa FREEMASONRY, unapatikana jijini moshi, Kilimanjaro. Jengo hili lilizinduliwa mnamo 2005, Machi 26. Na kupewa namba 9794. Sir jayantilal keshavij chande ndiye mzinduzi na mwenyekiti wa jumuiya ya FREEMASONRY afrika ya mashariki.
Karibuni kwa maswali, hoja na mjadala ndugu watanzania.