Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Nipo hapa nasubiria maelezo na udadavuzi wa hicho chama maarufu duniani... ila ningependa kujua huwa mnajiungaje fmason? Maana naona vipost vingi mitandaoni vikitutaka tujiunge na kupata mahela.... nasikia tu watu wakisema kuwa ni matapeli kwa hiyo huwa nawapuuzia.. nipe maelezo maalum
Namna ya kujiunga, tafuta ukumbi au lodge kwa kiingereza, karibu nawe ingia na uonane na grand Master uongee nae.
 
Wakati freemason wakimpa Mwanachama pesa na utajiri (sijuwi kama ni kweli) ,mwanachama huyo anachangia/anaingiza faida gani kwenye jumuiya kwa wakati huo?
Wakati anaingia kwenye chama Kama mwanachama mpya, ataambiwa Hili ni shirika la kusaidia jamii, hivyo anatakiwa kutoa mchango wake katika jamii. Baadae atapanda ngazi ya entered apprentice degree.
 
Nielezee kiundani zaidi

KAFARA- ya mtoto kulala na mama yake wa kumzaa yaani mtoto kushiriki kimapenzi na mama yake mzazi

Sina maana kama naitka kuifanya ila tunasikia ipo na hao Freemasons wanaitoa kwa mtu anayeitaka na cha zaidi tunasikia kuna STAR hapa bongo anafanya hivyo na mama yake mzazi

Kingine sisi kama watanzania sio utamaduni wetu na kama kweli kuna star hapa bongo anafanya hivyo na mama yake- nawaambia hao Freemasons HATUJAPENDA mbadilishieni hiyo kafara nawaomba, nawaomba, nawaomba- nimewaomba mara tatu wakuu tafadhalini mbadilishieni hiyo kafara

Tunamjua uyo star.
 
Hizo ni stori watu watanzania wwnazungumza, ukweli ni kwamba hakuna kafara ya mwanadamu Bali kafara ya mbuzi dume mkubwa yaani beberu, kujua Sala na kanuni Sheria na mifumo. Huu no utaratibu wao.

Wao huchukua nafsi yako na tiketi moja kwa moja mpaka kuzimu kuwatumikia kipindi umeaga dunia.
 
Back
Top Bottom