Battor
JF-Expert Member
- Mar 21, 2019
- 1,964
- 3,496
Je kuna uwezekano wa kumtambua mwanachama wa freemason kwa kumuangalia tu, kama ni ndio je ni sifa zipi zinazomtambulisha kuwa huyu ni mmoja ya wanachama.Nguvu za maajabu, utajiri, kukubalika na jamii, ulinzi, kuepusha magonjwa na ajali.