Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Kabla hujatawazwa kuwa mwanachama Basi kuna kiapo unasema, MBELE DAIMA, NYUMA MWIKO. Hakuna kurudi nyuma hivyo ukirudi nyuma inakuwa umekiuka masharti upaswa kufa. Kisha utapelekwa kwa mkuu wa Giza mwenye kutoa mwanga katika ulimwengu, atakuhifadhi katika malazi yake huko kuzimu. Atakupa mateso makali Sana.
"Mkuu wa Giza mwenye kutoa Mwanga kwa ulimwengu".

Mkuu hapo sijakuelewa, inawezekanaje mkuu wa giza atoe nuru/mwanga kwa ulimwengu ?

Wakati yeye tayari ni mkuu wa giza maana yake huyo mwanga autoe wapi wakati yeye ni giza
 
Mkuu wa Giza ni Lucifer.
Kutoa mwanga maana yake kuwasaidia viumbe wake shida zao, kuwapa nguvu, Mali, uwezo, na kile wanacho taka kwa makubaliano ya kuuziana utu na nafsi.
 
Watanzania wengi wamekuwa wakipata taabu kuifahamu FREEMASONRY Sasa utaenda kuifahamu kwa undani ikiwa utaleta maswali yenye tija, msingi, uhalisia hivyo utapata majibu kwa usahihi kabisa.

View attachment 2652303
Huu ni ukumbi wa FREEMASONRY, unapatikana jijini moshi, Kilimanjaro. Jengo hili lilizinduliwa mnamo 2005, Machi 26. Na kupewa namba 9794. Sir jayantilal keshavij chande ndiye mzinduzi na mwenyekiti wa jumuiya ya FREEMASONRY afrika ya mashariki.

Karibuni kwa maswali, hoja na mjadala ndugu watanzania.
Umetelekeza uzi uliouanzisha umekuja kufungua uzi mwingine ili iweje?
 
Back
Top Bottom