Searching for the truth
JF-Expert Member
- Mar 22, 2022
- 903
- 1,851
😁😁😁Ndugu yangu usipoteze muda wako kwa gharama nyingi kumsikiliza huyu Pasco.
Hana anachojua kuhusu FREEMASONRY ndio maana you hai Wana mwacha abwa bwaje.
Hebu fikiri kanumba kwanini aliondoka kwanini Pasco abaki. .
Umepata mwanga Sasa.
Nimeanza kuamini wewe ni freemason agent.
Maana kikawaida huwa mnamchukia mtu anaesema ukweli wa siri zenu.
Kauli yako ya kunambia nisipoteze mda kumsikiliza PASCO imenifanya niamini kuwa nyie freemason mnamchukuia mtu anaetoa siri zenu na huwa mnaanza kumwita mpotoshaji.
PASCO amewavua nguo na mmeshindwa cha kumfanya ndiyo maana mnamchukia.
Mlipatisha ajali ili mumuue, Mungu wake kamponya nyie bado mnaendelea kumtafta na sidhani kama mtamuua yule labda Mungu tu aamue yeye.
Kanumba mlimuwahi kwa sababu yeye alichelewa kuchukua maamuzi ya kumrudia Mungu.
Paschal aliwawahi kakimbilia kanisani kwa Mungu akaponya nafsi yake.
Kanumba kujishauri kulimpotezea muda mkamuwahi.
Ila Brother una kitu, nitakutafta dm tuyajenge nikishamaliza kukuuliza maswali yangu.
Una kitu brother utafika mbali wewe.