Searching for the truth
JF-Expert Member
- Mar 22, 2022
- 903
- 1,851
Ok sawa.Mkuu wa Giza ni Lucifer.
Kutoa mwanga maana yake kuwasaidia viumbe wake shida zao, kuwapa nguvu, Mali, uwezo, na kile wanacho taka kwa makubaliano ya kuuziana utu na nafsi.
Huwa naskia wacha Mungu wa upande wa Wakristo wanasema kwenye biblia mlitabiriwa kuwa mtaitawala dunia kwa muda wa miaka elfu moja pekee.
Swali langu kwako, Je utawala wenu umebaki miaka mingapi hasa ufike mwisho wenu ? Au ni mwaka gani mlianza kuitawala dunia ?