Roca fella
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 2,077
- 4,152
Je jumuiya hii ina uhusiano wowote na imani za kiroho na kama ndio ningependa kujua ni mlengo upi wa kiroho jumuiya hii ufuata?watanzania wengi wamekuwa wakipata taabu kuifahamu FREEMASONRY Sasa utaenda kuifahamu kwa undani ikiwa utaleta maswali yenye tija, msingi, uhalisia hivyo utapata majibu kwa usahihi kabisa.
View attachment 2652303
Huu ni ukumbi wa FREEMASONRY, unapatikana jijini moshi, Kilimanjaro. Jengo hili lilizinduliwa mnamo 2005, Machi 26. Na kupewa namba 9794. Sir jayantilal keshavij chande ndiye mzinduzi na mwenyekiti wa jumuiya ya FREEMASONRY afrika ya mashariki.
Karibuni kwa maswali, hoja na mjadala ndugu watanzania.
Nielezee kiundani zaidi
KAFARA- ya mtoto kulala na mama yake wa kumzaa yaani mtoto kushiriki kimapenzi na mama yake mzazi
Sina maana kama naitka kuifanya ila tunasikia ipo na hao Freemasons wanaitoa kwa mtu anayeitaka na cha zaidi tunasikia kuna STAR hapa bongo anafanya hivyo na mama yake mzazi
Kingine sisi kama watanzania sio utamaduni wetu na kama kweli kuna star hapa bongo anafanya hivyo na mama yake- nawaambia hao Freemasons HATUJAPENDA mbadilishieni hiyo kafara nawaomba, nawaomba, nawaomba- nimewaomba mara tatu wakuu tafadhalini mbadilishieni hiyo kafara
Ninaweza kumtoa kafara member wa jf ananisumbua sana
Namimi nimeshtuka hapa. Picha inavyoonekana ni kama vile kaipiga kwa nje halafu haraka haraka ili asikutweKwann umepigia picha nje ya fensi je tuamin hujui chochote kuhusu fremason wala huna acces ya kuingia hata ndan ya jengo
Mama D