Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi


Khaaa kwahiyo YANGA nao wapo huko
😅😅😅😅
Hapana klabu ya Yanga haipo katika jumuiya hii isipokuwa tajiri mmoja hapo anahusika.

Huu ni msemo na msimamo wetu kuwa hakuna nafasi kurejea nyuma kwa jambo lolote kuhusu freemason.
 
Kama unalijua hilo kwanini umejiunga? Tuondolee utapeli wenu apa 🫤🫤🫤
Ngoja nikueleweshe tatizo watanzania hamtaki kuumiza vichwa kuchambua.

Unaambiwa freemason ni shirika ambalo sio la kiserikali, ni shirika ambalo linajitegemea binafsi kwa kutoa misaada katika jamii. Na misaada hii hutoa wanachama ambao huchanga fedha, Basi mtu anajiunga hatua ya kwanza ambapo unafundishwa maadili,kanuni na Sheria zao. Baada ya hapo unatawazwa kuwa mwanachama, unaingia ngazi ya kwanza wanaita entered apprentice, ngazi ya pili wanaita fellow craft, ngazi ya tatu wanaita master Mason, Sasa hapa unajua Siri nyingi hakuna kutoka Wala kurudi nyuma,
 
Freemason kafara sio kumwaga damu ya binadamu, no wao hufanya ibada za Siri na kumwaga damu ya mbuzi.

Wanacho kufanya ni kuchukua nafsi yako hii Ina maana kwamba hata uombe vipi huwezi kusalimika, ni kwamba umemkataa Mungu Mwenyezi halafu umeuza nafsi na roho kwa shetani, ukifa unakuwa mtu wake shetani atakutesa Sana, Mali haramu na anasa ni miliki za shetani.

Shetani anatambua wanadamu wa Karne hii wanapenda pesa Basi anawapa pesa huku wewe unampa nafsi yako. Hakuna kumwaga damu ya binadamu.
 
Uliwahi kuwepo huko? I mean in the Masonry?
 
U
Umeeleza vizuri, lakini umetoa elimu ya uongo. Hebu nikuulize swali unijibu.

Freemason ni nini..?

Kwanini ibada inakuwa Siri wakati taasisi ama shirika zingine hakuna Siri katika ibada.

Kwanini Steven Charles kanumba, aliimba nyimbo za kusifu na kuabudu kuomba msamaha kwa Mungu Mwenyezi.
 
Je, re ji.nadi M.3ng1 alikuwa mmoja wao?
 
Hii thread watatapeliwa vilaza wengi sana 🤣🤣🤣👋

Kichwa kisicho na maarifa ni mzigo kwa shingo 🫤🫤🫤
Hapana madam sisi hatupo hapa kuchukua pesa ya mtu.

Watanzania wanatapeliwa kwa kukosa maarifa wavivu wa kuumiza kichwa.

Hapa tunatoa elimu na kujadiliana kukomesha maovu ya lusse fere, yaani Lucifer.
 
Kwa hiyo hapo wewe umeshajitoa muhanga kwamba ni wa motoni?
 
Kanumba alishafikia hatua ya kuuza nafsi na roho?
 
Kila mwanachama lazima auze nafsi yake na roho kwa shetani.

Dollar laki 1 unazawadiwa ukiwa mwanachama wao.

Je nikuulize utaweza kulipa gharama alizokupa mkuu wa Giza.
Gharama zipi? Pia, ulisema kuna level ukifika unauza roho na nafsi ili usiwakimbie, vipi kuhusu wewe, umefikia level hizo? M.engi je?
 
You want to say no one influential on earth without being one of them? Trump, is he one of them? Kim Jong? Putin je?
Sio kila influencer ni freemason hapana, ni wewe na akili yako umekubali kuuza nafsi upate pesa, nguvu, umaarufu, au unataka nini...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…