Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Kwaiyo wewe wachukulia ubani kama jambo lakawaida sanaaa... Jaribu kufanya tafiti mkuu usiwe unachukua mambo kirahisi rahisi.
Where did I say ni jambo la kawaida? Kama nimesema ni makasisi tu, tena altareni, ndio wanafukiza ubani?
Ukiona mtu anafanya hivyo mtaani, ujue anayaita mashetani yake
Maana shetani, siku zote analaghai kuwa yeye ni sawa na Mwenyezi Mungu
 
Nilijaribu kwenda lodge namba 13 nimegonga ametoka mumama na mipete yake nikamwambia nimekosea room

May be ni kweli
 
Ukijiunga na Freemason,halafu Freemason wakakuambia ufanye jambo ambalo ni kinyume na imani zako za msingi? Unaweza kukataa?
 
Where did I say ni jambo la kawaida? Kama nimesema ni makasisi tu, tena altareni, ndio wanafukiza ubani?
Ukiona mtu anafanya hivyo mtaani, ujue anayaita mashetani yake
Maana shetani, siku zote analaghai kuwa yeye ni sawa na Mwenyezi Mungu
Mbona unazungumzia kuhusu mashetani, ambayo hizi ni story zakusikia, kuna shetani aliyewahi kukuambia yeye ni sawa na mungu, au umesikia hizi habari
 
Uliwahi kuwepo huko? I mean in the Masonry?
Hapana but kama wao wajuavyo kanuni za kishetani,na mm najua za kiMungu ,
In case bible imeeleza! Ila pia kuna mtu tuliwahi kumsaidia kujiengua,bahati mbaya amerudi huko tena,Ubaya ni kuwa huu uzi upo sambamba na roho chafu za kuvuta watu huko
 
Ulipitia initiation ipi ili kuwa master lodge by the way namjua master lodge moshi na sio mpuuzi wa kuja kuropoka jf.
Entered apprentice, fellow craft, master Mason, grand master, Mason.

Ukijua Aina ya hizi Basi utamfahamu grand master Mason wa moshi, sio master Mason.
 
Unajua lolote juu ya Freemason kweli wewe? Sir Andy Chande unayesema ni mwenyeketi wa Freemasonry Afrika mashariki alifariki 2017. Au freemason nao wakifa wanafufuka kama Yesu?
 
Anatembea na gari akitafuta nini?
Kwanini gari nyeusi mercedes benz?
Na huwa anatembelea maeneo gani?
Akiwa amevaa mwili upi
Shetani anatembea kutafuta watu wa kuwashawishi dhambi aende nao motoni, kuna muda anajisikia fahari kutembea duniani lakini kwa madhara,

Shetani anapenda rangi nyeusi, ndio maana hata waganga hutumia kaniki nyeusi na nyekundu,
Nyekundu ni damu, nyeusi ni nguvu za Giza maana Giza ni jeusi, inamwakilisha shetani.

Mara nyingi hupenda kutembea au kufanya kazi zaidi usiku kwenye mabaa na klabu

Shetani huwezi kumjua kwa sura huwa anabadilika kwa kila anapoenda halafu shetani sio mbaya Kama unavyo fikiri ni mzuri Sana wa sura ila yeye hupenda kuja na sura ya kutisha Sana.
 
Kwa hyo Yanga mafreemason
 
Je aliowaacha Mjane na watoto ikiwa sio wanachama wa wajenzi huru mali zinaweza kuendelea kuwepo au zinapukutika?
Endapo mwanachama amekufa kifo bila ugomvi wao au kukiuka masharti Basi Mali zinadumu,

Kinyume na hapo Wala hakuna kinacho Baki wanachukua vya kwako.
 
Nauliza swali.
Kuna watu wanapinga kuwa freemason huwa hawaabudu shetani hiyo fuvu ni la nini hapo.
Au mnaishia kupata ushahidi kwenye maandishi bila uhalisia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…