Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Entered apprentice, fellow craft, master Mason, grand master, Mason.

Ukijua Aina ya hizi Basi utamfahamu grand master Mason wa moshi, sio master Mason.
Sasa kwann unapotosha umma na kuichafua masonry kama wewe ni masonry kwann usiitoe jamii tongotongo kuhusu chama hiki..nilitegemea uwe wa kwanza kuhubiri kuhusu habari njema
 
Sasa kwann unapotosha umma na kuichafua masonry kama wewe ni masonry kwann usiitoe jamii tongotongo kuhusu chama hiki..nilitegemea uwe wa kwanza kuhubiri kuhusu habari njema
Kijana hakuna unacho fahamu kuhusu freemason, endelea kusoma vitabu na mijadala mbali mbali kupamba freemason,

Nikuulize swali.
Kwanini shetani alimdanganya Eva au hawwa kula tunda halafu alikuja kwa umbile na nyoka. Kwanini asiende kwa sura yake.
 
Shetani anatembea kutafuta watu wa kuwashawishi dhambi aende nao motoni, kuna muda anajisikia fahari kutembea duniani lakini kwa madhara,

Shetani anapenda rangi nyeusi, ndio maana hata waganga hutumia kaniki nyeusi na nyekundu,
Nyekundu ni damu, nyeusi ni nguvu za Giza maana Giza ni jeusi, inamwakilisha shetani.

Mara nyingi hupenda kutembea au kufanya kazi zaidi usiku kwenye mabaa na klabu

Shetani huwezi kumjua kwa sura huwa anabadilika kwa kila anapoenda halafu shetani sio mbaya Kama unavyo fikiri ni mzuri Sana wa sura ila yeye hupenda kuja na sura ya kutisha Sana.
Kwanini gari nyeusi mercedes benz?

Kwani akiwa huko alipo hawezi kushawishi hadi aje physically???
 
Kwanini gari nyeusi mercedes benz?

Kwani akiwa huko alipo hawezi kushawishi hadi aje physically???
Kwanini Eva au hawwa alishawishiwa na nyoka akala tunda, si shetani alikuja physical,

Hata akiwa mbali anaweza kushawishi utende dhambi,

Shetani anakuja kwa nafsi kukushawishi utende dhambi Tena anakubembeleza kabisa
 
Benjamin Fernandez and his dad?
Hapana hayuko katika shirika la freemason, mwana Wala babaye.

japo kuwa asilimia 68% ya wahindi hapa afrika mashariki wamejiunga na shirika la freemason.

Kwa jina lingine freemason huita club, mtu anaweza kukuaga nyumbani au ofisini kuwa ataenda club usifikiri ni club ya muziki, wengine humaanisha freemason hall.
 
So the source of their wealth including NA.r@ is their hard work?
 
So the source of their wealth including NA.r@ is their hard work?
Fanya kazi kwa bidii hata Kama unaloga, usitegemee kuloga halafu ukae urelax, utaona maisha ni kawaida.

U must work very hard my bro. Nothing less... ✌️
 
Natamani sana nijiunge na chama

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Kabla hujajiunga uliza akili nafsi na roho yako kwanini unataka kujiunga na freemason,

Amri ya kwanza ya Mungu Mwenyezi, inasema USIWE NA MUNGU MWINGINE ILA MIMI MAANA MIMI NI MUNGU MWENYE WIVU. USIABUDU SANAMU WALA KUCHONGA CHOCHOTE UKAABUDU.

Hapa Mungu Mwenyezi alituepusha na shaytan. ( Shetani )
 
Uliza ni mwana jf gani ametapeliwa, pm zimejaa meseji 143 wanataka kuunganishwa sina muda wa kumuunganisha mtu,

Kule unajiunga kwa hiari yako sio shinikizo la mtu ni marufuku.
Ndiyo basi tena ushauza nafsi na roho. Hapo wewe ni kopo tu, vyote wameshavishikilia wenyewe
 
Kabla hujajiunga uliza akili nafsi na roho yako kwanini unataka kujiunga na freemason,

Amri ya kwanza ya Mungu Mwenyezi, inasema USIWE NA MUNGU MWINGINE ILA MIMI MAANA MIMI NI MUNGU MWENYE WIVU. USIABUDU SANAMU WALA KUCHONGA CHOCHOTE UKAABUDU.

Hapa Mungu Mwenyezi alituepusha na shaytan. ( Shetani )
Sasa kwa nini wewe ukajiunga?
 
Nimesoma Hadi nimechoka

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile ap

Sasa kwa nini wewe ukajiunga?
Mazingira yangu yalishawishi kujiunga na freemason, hasa kujichanganya na watu mbali mbali, nilipata mhusika mzuri wa kunipa mwelekeo na nikafaulu kujiunga ilichukua miezi 8. Sio rahisi Kama unavyo fikiri hakuna jambo jepesi kwa mwanadamu lazima usote. In loving memory ❤️ kwa huyu mhusika aliye niunga ameshatutangulia mbele za haki. Basi hakuna budi kufuata nyuma yake.
 
Mazingira yangu yalishawishi kujiunga na freemason, hasa kujichanganya na watu mbali mbali, nilipata mhusika mzuri wa kunipa mwelekeo na nikafaulu kujiunga ilichukua miezi 8. Sio rahisi Kama unavyo fikiri hakuna jambo jepesi kwa mwanadamu lazima usote. In loving memory [emoji3590] kwa huyu mhusika aliye niunga ameshatutangulia mbele za haki. Basi hakuna budi kufuata nyuma yake.
Mzee ila moto unauma ujue... imagine unaamua kuwa adui wa Mungu wazi wazi namna hiyo... aisee.
 
Ndiyo basi tena ushauza nafsi na roho. Hapo wewe ni kopo tu, vyote wameshavishikilia wenyewe
binadamu akiwa duniani bado anayo neema ya kutubu endapo umedhamiria, no matter what nini kitatokea huko mbeleni ili mradi uwe serious kurudi kwa MUNGU MWENYEZI maana yeye ametuumba hakuna anacho shindwa kwetu.
 
Wewe umeshauza roho... means ukiwa hata na wazo tu wao wanajua[emoji23] unachomokaje sasa hapo[emoji38]
 
Back
Top Bottom