Wrevta
JF-Expert Member
- Jan 18, 2023
- 1,442
- 1,731
Mkuu ms0ga ni mmoja wao?Nauliza swali.
Kuna watu wanapinga kuwa freemason huwa hawaabudu shetani hiyo fuvu ni la nini hapo.
Au mnaishia kupata ushahidi kwenye maandishi bila uhalisia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ms0ga ni mmoja wao?Nauliza swali.
Kuna watu wanapinga kuwa freemason huwa hawaabudu shetani hiyo fuvu ni la nini hapo.
Au mnaishia kupata ushahidi kwenye maandishi bila uhalisia.
hapana Wala hatumtambui msoga ndani ya chama chetu.Mkuu ms0ga ni mmoja wao?
Benjamin Fernandez and his dad?hapana Wala hatumtambui msoga ndani ya chama chetu.
Sasa kwann unapotosha umma na kuichafua masonry kama wewe ni masonry kwann usiitoe jamii tongotongo kuhusu chama hiki..nilitegemea uwe wa kwanza kuhubiri kuhusu habari njemaEntered apprentice, fellow craft, master Mason, grand master, Mason.
Ukijua Aina ya hizi Basi utamfahamu grand master Mason wa moshi, sio master Mason.
Kijana hakuna unacho fahamu kuhusu freemason, endelea kusoma vitabu na mijadala mbali mbali kupamba freemason,Sasa kwann unapotosha umma na kuichafua masonry kama wewe ni masonry kwann usiitoe jamii tongotongo kuhusu chama hiki..nilitegemea uwe wa kwanza kuhubiri kuhusu habari njema
Kwanini gari nyeusi mercedes benz?Shetani anatembea kutafuta watu wa kuwashawishi dhambi aende nao motoni, kuna muda anajisikia fahari kutembea duniani lakini kwa madhara,
Shetani anapenda rangi nyeusi, ndio maana hata waganga hutumia kaniki nyeusi na nyekundu,
Nyekundu ni damu, nyeusi ni nguvu za Giza maana Giza ni jeusi, inamwakilisha shetani.
Mara nyingi hupenda kutembea au kufanya kazi zaidi usiku kwenye mabaa na klabu
Shetani huwezi kumjua kwa sura huwa anabadilika kwa kila anapoenda halafu shetani sio mbaya Kama unavyo fikiri ni mzuri Sana wa sura ila yeye hupenda kuja na sura ya kutisha Sana.
Kwanini Eva au hawwa alishawishiwa na nyoka akala tunda, si shetani alikuja physical,Kwanini gari nyeusi mercedes benz?
Kwani akiwa huko alipo hawezi kushawishi hadi aje physically???
Hapana hayuko katika shirika la freemason, mwana Wala babaye.Benjamin Fernandez and his dad?
So the source of their wealth including NA.r@ is their hard work?Hapana hayuko katika shirika la freemason, mwana Wala babaye.
japo kuwa asilimia 68% ya wahindi hapa afrika mashariki wamejiunga na shirika la freemason.
Kwa jina lingine freemason huita club, mtu anaweza kukuaga nyumbani au ofisini kuwa ataenda club usifikiri ni club ya muziki, wengine humaanisha freemason hall.
Fanya kazi kwa bidii hata Kama unaloga, usitegemee kuloga halafu ukae urelax, utaona maisha ni kawaida.So the source of their wealth including NA.r@ is their hard work?
Kabla hujajiunga uliza akili nafsi na roho yako kwanini unataka kujiunga na freemason,
Big thanks to you!Fanya kazi kwa bidii hata Kama unaloga, usitegemee kuloga halafu ukae urelax, utaona maisha ni kawaida.
U must work very hard my bro. Nothing less... [emoji3577]
Ndiyo basi tena ushauza nafsi na roho. Hapo wewe ni kopo tu, vyote wameshavishikilia wenyeweUliza ni mwana jf gani ametapeliwa, pm zimejaa meseji 143 wanataka kuunganishwa sina muda wa kumuunganisha mtu,
Kule unajiunga kwa hiari yako sio shinikizo la mtu ni marufuku.
Sasa kwa nini wewe ukajiunga?Kabla hujajiunga uliza akili nafsi na roho yako kwanini unataka kujiunga na freemason,
Amri ya kwanza ya Mungu Mwenyezi, inasema USIWE NA MUNGU MWINGINE ILA MIMI MAANA MIMI NI MUNGU MWENYE WIVU. USIABUDU SANAMU WALA KUCHONGA CHOCHOTE UKAABUDU.
Hapa Mungu Mwenyezi alituepusha na shaytan. ( Shetani )
Mazingira yangu yalishawishi kujiunga na freemason, hasa kujichanganya na watu mbali mbali, nilipata mhusika mzuri wa kunipa mwelekeo na nikafaulu kujiunga ilichukua miezi 8. Sio rahisi Kama unavyo fikiri hakuna jambo jepesi kwa mwanadamu lazima usote. In loving memory ❤️ kwa huyu mhusika aliye niunga ameshatutangulia mbele za haki. Basi hakuna budi kufuata nyuma yake.Sasa kwa nini wewe ukajiunga?
Mzee ila moto unauma ujue... imagine unaamua kuwa adui wa Mungu wazi wazi namna hiyo... aisee.Mazingira yangu yalishawishi kujiunga na freemason, hasa kujichanganya na watu mbali mbali, nilipata mhusika mzuri wa kunipa mwelekeo na nikafaulu kujiunga ilichukua miezi 8. Sio rahisi Kama unavyo fikiri hakuna jambo jepesi kwa mwanadamu lazima usote. In loving memory [emoji3590] kwa huyu mhusika aliye niunga ameshatutangulia mbele za haki. Basi hakuna budi kufuata nyuma yake.
binadamu akiwa duniani bado anayo neema ya kutubu endapo umedhamiria, no matter what nini kitatokea huko mbeleni ili mradi uwe serious kurudi kwa MUNGU MWENYEZI maana yeye ametuumba hakuna anacho shindwa kwetu.Ndiyo basi tena ushauza nafsi na roho. Hapo wewe ni kopo tu, vyote wameshavishikilia wenyewe
Wewe umeshauza roho... means ukiwa hata na wazo tu wao wanajua[emoji23] unachomokaje sasa hapo[emoji38]binadamu akiwa duniani bado anayo neema ya kutubu endapo umedhamiria, no matter what nini kitatokea huko mbeleni ili mradi uwe serious kurudi kwa MUNGU MWENYEZI maana yeye ametuumba hakuna anacho shindwa kwetu.