Roca fella
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 2,077
- 4,152
- Thread starter
- #501
Nimemwelewa ila hatumtambui kwenye chama.Msoga anamaanisha kikwete!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemwelewa ila hatumtambui kwenye chama.Msoga anamaanisha kikwete!!!
😂😂😂 Pumbavu mmoja wewekuna kiapo Mara 3 kwamba MBELE DAIMA, NYUMA MWIKO.
Yeye anakuja Kama binadamu wa kawaida huwezi kumjua. Pengine hata hapa jf Kuna shetani huwa anaperuzi. Huwezi kumjua.Kwa hiyo hiyo J3 anapokuja na benz yake, kuna watu huwa wanaongea naye pasipo kujua na anawalipia bills huko club na kwenye kumbi za starehe anakokwenda?
Namaanisha yule shetani Mkuu mwenyewe aliyetaka kumpindua Mungu (Joka jekundu kama anavyotajwa kwenye ufunuo). Naona hujanielewa hapo. Yaani aje duniani aende club akaruke na warembo?Yeye anakuja Kama binadamu wa kawaida huwezi kumjua. Pengine hata hapa jf Kuna shetani huwa anaperuzi. Huwezi kumjua.
Kuna mmoja anaitwa Tamba na Zambe anasumbua sana tik tok ,je unamfahamu?Wa Sasa anaitwa bro efrahim.
JUmatatu si ndio anakuja mzima mzima na gari yakeShetani muda wowote ana deal na binadamu, Tena anafanya kazi kwa spidi kubwa Sana,
Epusha kutenda dhambi siku zote sio jumatatu tu.
JUmatatu si ndio anakuja mzima mzima na gari yake
Dodoma wana lodge? Na wanakutania wapi? Na KILA wakikutana wanajifunza nini?Sio kweli, lodge hizi zilijengwa na waingereza kipindi Cha ukoloni, 1994 ilijengwa lodge ya dar es salaam ikapewa namba 9534.
Mwaka 2005 wakaunda lodge yao nyingine moshi ikapewa namba 9794.
Hizi lodge hazijengwi kiholela Kama nyumba zingine Kuna utaratibu maalum.
Hao wanaokutana huko mkoani ni hoteli, au nyumba ya mtu kuishi humo wanapeana maelekezo na mafunzo kadhaa,
Kila lodge Ina utaratibu na Sheria zake, kwa mwezi wanaokutana Mara 1, kuanzia saa 12 jioni.
Hii ya shetulee kusukuma mercedes benz KILA Juma tatu mbona kama kamba kabisa? Tena mkongeHapana Mimi sikuzungumza kuhusu bahasha nyeusi, Wala kulia.
Shetani unaweza kumhonga hata wewe ambae haupo freemason, shetani kila jumatatu Kama leo hutembea duniani akiwa amevaa suti nyeusi,gari nyeusi Mercedes Benz.
Kwahiyo Bwana the great Mzee wa devil kingdom amewachoropoka KWa kumrudia Mungu wake.. mkaona mumkomeshe KWa kuuwa mwili wake?binadamu akiwa duniani bado anayo neema ya kutubu endapo umedhamiria, no matter what nini kitatokea huko mbeleni ili mradi uwe serious kurudi kwa MUNGU MWENYEZI maana yeye ametuumba hakuna anacho shindwa kwetu.
Unacheka nini mkuu??😅😅 Shetani huja na gari yake mercedez nyeusi kaliiii kila jumatatu[emoji23][emoji23][emoji23]
Unacheka nini mkuu??[emoji28][emoji28] Shetani huja na gari yake mercedez nyeusi kaliiii kila jumatatu
Kuna mmoja anaitwa Tamba na Zambe anasumbua sana tik tok ,je unamfahamu?
Mi nimewaza anaendeshaga mitaa gani niepukane nae 😅Nimejaribu kuvuta picha ya bwana mkubwa akiwa kwenye benz yake Ndio maana nimecheka[emoji23][emoji23]
Mi nimewaza anaendeshaga mitaa gani niepukane nae [emoji28]
Hata nabii Isa ibn maryam, ( Yesu kristo ) hakuaminiwa na watu wote, hivyo sio ajabu wewe kunipinga ila nimezungumza nilicho ona.Hii ya shetulee kusukuma mercedes benz KILA Juma tatu mbona kama kamba kabisa? Tena mkonge