Rogojin The Idiot
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 2,969
- 3,392
Where did I say ni jambo la kawaida? Kama nimesema ni makasisi tu, tena altareni, ndio wanafukiza ubani?Kwaiyo wewe wachukulia ubani kama jambo lakawaida sanaaa... Jaribu kufanya tafiti mkuu usiwe unachukua mambo kirahisi rahisi.
Ukiona mtu anafanya hivyo mtaani, ujue anayaita mashetani yake
Maana shetani, siku zote analaghai kuwa yeye ni sawa na Mwenyezi Mungu