Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Kwa hiyo hiyo J3 anapokuja na benz yake, kuna watu huwa wanaongea naye pasipo kujua na anawalipia bills huko club na kwenye kumbi za starehe anakokwenda?
Yeye anakuja Kama binadamu wa kawaida huwezi kumjua. Pengine hata hapa jf Kuna shetani huwa anaperuzi. Huwezi kumjua.
 
Yeye anakuja Kama binadamu wa kawaida huwezi kumjua. Pengine hata hapa jf Kuna shetani huwa anaperuzi. Huwezi kumjua.
Namaanisha yule shetani Mkuu mwenyewe aliyetaka kumpindua Mungu (Joka jekundu kama anavyotajwa kwenye ufunuo). Naona hujanielewa hapo. Yaani aje duniani aende club akaruke na warembo?
 
Dodoma wana lodge? Na wanakutania wapi? Na KILA wakikutana wanajifunza nini?
Pia nitajie viongozi wa dini ambao mpo nao chamani
 
binadamu akiwa duniani bado anayo neema ya kutubu endapo umedhamiria, no matter what nini kitatokea huko mbeleni ili mradi uwe serious kurudi kwa MUNGU MWENYEZI maana yeye ametuumba hakuna anacho shindwa kwetu.
Kwahiyo Bwana the great Mzee wa devil kingdom amewachoropoka KWa kumrudia Mungu wake.. mkaona mumkomeshe KWa kuuwa mwili wake?
 
hivi ni nini tofauti ya freemason na Illuminati?? na je mbali na hizo taasisi mbili kuna taasisi nyingne ya kumpinga kristo??
 
Hii ya shetulee kusukuma mercedes benz KILA Juma tatu mbona kama kamba kabisa? Tena mkonge
Hata nabii Isa ibn maryam, ( Yesu kristo ) hakuaminiwa na watu wote, hivyo sio ajabu wewe kunipinga ila nimezungumza nilicho ona.

Sio lazima atumie Mercedes Benz, hata Land cruiser v8 nyeusi anaweza kutumia. Ni upendeleo wake.
 
Tarehe 20 mwezi 6 mwaka 2023.

HUU MDAHALO UTASITISHWA RASMI. SITORUHUSIWA KUJIBU CHOCHOTE KUHUSU FREEMASON WALA ULIMWENGU WA GIZA.

EPUSHA MADHARA, ADHABU NA KIFO.


AHSANTENI KWA KUSHIRIKI NDUGU ZANGU WA JAMII FORUMS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…