Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Screenshot_20230618-084821_(1).png
 
Tarehe 20 mwezi 6 mwaka 2023.

HUU MDAHALO UTASITISHWA RASMI. SITORUHUSIWA KUJIBU CHOCHOTE KUHUSU FREEMASON WALA ULIMWENGU WA GIZA.

EPUSHA MADHARA, ADHABU NA KIFO.

AHSANTENI KWA KUSHIRIKI NDUGU ZANGU WA JAMII FORUMS.
Huja nijibu maswali yangu... Nimeuliza bwana the great wa the devil kingdom alifanikiwa kuwachoropoka KWa kumrudia Mungu wake wa kweli mkaamua kuuwa mwili wake?
 
Huja nijibu maswali yangu... Nimeuliza bwana the great wa the devil kingdom alifanikiwa kuwachoropoka KWa kumrudia Mungu wake wa kweli mkaamua kuuwa mwili wake?
STEVEN CHARLES KANUMBA
SASA YUPO KUZIMU. HUWEZI KUIKIMBIA FREEMASON.

UKIINGIA UMEINGIA, KUTOKA HUWEZI MAANA UMEKULA KIAPO KUUZA NAFSI KWA LUSSE FERRE.
 
kaka hujajibu hapa
ILLUMINATI IMEKUFA MIAKA 200 IMEPITA TANGU 1793, HAKUNA KITU KINAITWA ILLUMINATI KWA KARNE HII.

FREEMASON IPO HAI TANGU SASA MPAKA SIKU YA KIYAMA.
 
Pia Dodoma wapo? Lengo kina Mpwayungu village niwafahimeshe waache kulalama maana uwalimu mshahara hautoshi kama anavyo lalamaga.....
FREEMASON WAPO KILA MKOA HAPA TANZANIA, MAKAO MAKUU YAPO DAR ES SALAAM KUNA LODGE ZAO KILA MKOA. KWA NAMBA ZA USAJILI.

KILA LA KHERI KWAKE BWANA MPWAYUNGU VILLAGE.
 
ILLUMINATI IMEKUFA MIAKA 200 IMEPITA TANGU 1793, HAKUNA KITU KINAITWA ILLUMINATI KWA KARNE HII.

FREEMASON IPO HAI TANGU SASA MPAKA SIKU YA KIYAMA.
Wewe si ulisema illuminati ni level nyingine baada ya ufreematule? Tena zaidi ukasema ufreematule ni kama nursery school.. mbona unabadili tena maneno
 
Watatapeliwa watu hapaa: Akili kumkichwa
HAKUNA UTAPELI HAPA KWANI HAKUNA HATA MMOJA ALIYE UNGANISHWA NA HAKUNA HATA MTU MMOJA HAPA JF ATAKAYE UNGANISHWA KUPITIA MIMI, KWANI SI RUHUSA KUUNGANISHA NAFSI YAKO KWA LUSSE FERRE KWA ULAZIMA PASIPO HIARI YAKO.
 
Wewe si ulisema illuminati ni level nyingine baada ya ufreematule? Tena zaidi ukasema ufreematule ni kama nursery school.. mbona unabadili tena maneno
ILLUMINATI IPO NDANI YA FREEMASON KWA NGAZI YA 32° KWA 33° ILA HUWEZI KUUNGANISHWA ILLUMINATI KAMA WATU WENGINE WANAVYO TAPELIWA AMA KUDHANI ILLUMINATI SIO CHAMA BALI NI CHEO NA NGAZI KATIKA FREEMASON.
 
Back
Top Bottom