Head prefect
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 225
- 108
Qms 100 sio ya mchezo aisee
the great
Hii Qms 100 ni nini wakuu?
Na join pale mwaka huu nifahamisheni wakuu
Duuuh...ha ha ha somo la hesabu kwa kozi za arts... hizi qms zinatupa sana ma demu watu wa baf, bba etc.... maana totoz zinakuja kwa fujo uzifundishe qms au ukazifanyie test zao
Kwa wale wanapenda kuingia darasani mara moja kwa wiki je wataweza kusoma mzumbe
kama kuna kitu nikisikia hata dudu halisimami ni hesabu tena za sekondarha ha ha somo la hesabu kwa kozi za arts... hizi qms zinatupa sana ma demu watu wa baf, bba etc.... maana totoz zinakuja kwa fujo uzifundishe qms au ukazifanyie test zao
kama kuna kitu nikisikia hata dudu halisimami ni hesabu tena za sekondar
Hata 1+1 ukiniambia ni ya sekondar naweza kuikosa sasa huko tena watu wa arts wanasoma hesabu.??
ni hesabu kweli ile kabisa maths ya o- level au ni simple simple kama zile za msingi??mzumbe kozi zote zina hesabu kasoro law tu
ni hesabu kweli ile kabisa maths ya o- level au ni simple simple kama zile za msingi??