Uliza swali lolote kuhusu wanyamapori wetu na tabia zao utajibiwa

Uliza swali lolote kuhusu wanyamapori wetu na tabia zao utajibiwa

Habari waungwana.

leo nimeweka mezani kwa yoyote mwenye swali interest kuhusu wanyama wa porini.uzi huu ni muhimu kujifunza tabia zao maisha yao kama una swali linakutatiza jiskie free uliza kwa kadiri nnavyoweza nitakujibu au ataekuwa na ufahamu zaidi humu jukwaani atakujibu.ni vizuri kufahamu tabia na mienendo ya wanyama wetu ili kuubust utalii wa ndani.

Karibuni wote, sina mengi kwa kuanza tutakuwa na mengi ya kujifunza
Hivi kuna tofauti gani kati ya haya mapaka pori...Tiger, Leopard, Cheetah, Jaguar na Panther? Je hao wote ni Cats? Na tabia zao vipi? Wale wanaokaa na wazungu wanapiga picha nao ni wapi?
 
Kuna swali niliuliza huko juu kuhusu ndege Bundi.. Kipi kinamfanya aweze kuzungusha shingo yake hadi nyuzi 360?
Mkuu nilipotea hapa muda sikuliona, sababu kuu ninayoona Mimi ni kwasababu hawezi kuzungusha mboni yake ya jicho Kama wanyama wengine coz macho yake ni makubwa kuliko fuvu lake hivyo ili kuona pande zote nilazima azungushe shingo pande zote
 
Sawa, swali jingine..

Ukiacha sababu ya ukubwa na uzito, sababu gani nyengine inayomfanya Mbuni asiruke?
 
Hivi kuna tofauti gani kati ya haya mapaka pori...Tiger, Leopard, Cheetah, Jaguar na Panther? Je hao wote ni Cats? Na tabia zao vipi? Wale wanaokaa na wazungu wanapiga picha nao ni wapi?
wote ni cat family.
hao wanaopiga picha na wazungu ni domesticated(wamefugwa)ingawa huwakata kucha zao wasilete madhara.
tofauti ya cheetah hafungui kucha zake (zipo kama za mbwa)sababu cheetah ameumbwa kukimbia.
 
k
Kuna swali niliuliza huko juu kuhusu ndege Bundi.. Kipi kinamfanya aweze kuzungusha shingo yake hadi nyuzi 360?
kinachomfanya azungushe shingo hivyo ni uti wake wa mgongo uliopo shingoni umetengenezwa kwa tissue maalum aweze kuzungusha hivyo pasipo kuathiri mishipa ya fahamu.binadam ukizungusha tu 120degrees kwa milisecond damu haifiki katika ubongo hapo hapo unazimia au kufa.bundi anaweza kuruka usawa wa kichwa chako na usisikie mabawa yake yakitoa sauti yaani hutajua km kuna ndege utosini kwako!!.bundi hufikia adi kg 10.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji119][emoji119]mkuu kweli Mungu yupo dah ukusikia mtu ka koswakoswa na mamba kumbe ni sawa na kujinasua kwnye uzito wa semu uwiiiiiij mamba kiboko
ndio mwenye strongest bite kuliko mnyama yoyote duniani.hakuna simba hakuna fisi wala kiboko.mamba akikukamata hadi umbinye jicho bila hivyo umekwisha hutachomoka hapo.
 
ndio mwenye strongest bite kuliko mnyama yoyote duniani.hakuna simba hakuna fisi wala kiboko.mamba akikukamata hadi umbinye jicho bila hivyo umekwisha hutachomoka hapo.
Pamoja na uimara wake katika meno, vipi hili la udhaifu wa mamba kwenye misuli ya midomo?
Kuna stori nyinhi kuwa ukiingia mdomoni mwa mamba, unatakiwa kuitarget midomo yake pembeni kwani ni dhaifu, hii imekaaje??
 
katikati ya lower jaw (chini ya kidevu)ya mamba iko laini sana hapo unaweza kumchoma kwa nguvu hata na mkono ukatoboa kama upo na afya.hapo anaweza kukuachia option ingine kumchoma jicho ila kupata hiyo TIMING ni ngumu sana sababu mamba akikushika popote huwa ana ROLL ili kukuua kwa haraka.
 
ningependa kujua kama kuna wanyama wanaotumia ule mtandao wa tigo?
kinachotokea sio kwamba wanafanya ushoga bali hii huitwa BULLYING yaani kipindi wanaume 2 wanamgombea jike 1 kinachotokea yule dume ambae dhaifu hufanyiwa dharau na mwenye nguvu kwa kumpanda hii sio kwamba ataingiza bali ni kumuonyesha tu yule jike kwamba huyu ni CHOKO tu au BOYA flani.kwahiyo ule ni udhalilishaji tuu sio kweli anakula tigo.ni mfano ule ule kama binadam akiwa anamponda msela wake kwa demu ili ye ampate!anaweza kukuita hata SHOGA ili tu ampate yule demu.
 
honeybadger au nyegere ni mnyama mdogo ila mkorofi na mkali kwa mnyama yoyote anaejaribu kumsogelea.chakula chake ni wadudu ikiwemo nyoka na asali.ana ngozi ngumu ambayo hata jino la simba haliwez wala panga na shoka linadunda ispokuwa labda kwa ngozi ya chini ya tumbo ndio dhaifu kidogo.ana antvenom hata nyuki wamshambulie hadhuriki anachofanya huwajambia nyuki hadi wanalewa kisha kula asali ushuzi wake ni kemikali kali huweza kufkuza hata fisi na simba.nyoka humgonga na kumsababishia kizunguzungu tuu cha mda kisha hurudi sawa.harufu ya ushuzi wake inatoka kwenye anal gland wala haiusiani na vyakula anavyokula.harufu ya ushuzi wake hutengenewa pafyum ambayo inauzwa ghali sana dunuani
Hiyo perfume balaaaah [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom