SectionTwenty
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 675
- 611
- Thread starter
-
- #241
Kampuni ni ndogo haijasajiliwa
Nataka kuanza kutunza hesabu na Sina mhasibu Wala uwezo wa kumlipa.
Ni kampuni ya Technology /IT
Ni vitabu gani vya hesabu natakiwakuwa navyo?
Je ni
Balance sheet
Cash flow statement
Income statement
Au daftari lamapato na matumizi ambalo content Nampa mtaalam.
Ni utaratibu gani unatumika kuifufua kampuni ambayo imesimama kufanya kazi kwa muda wa miaka inayozidi mitano,kampuni ni ya Construction..Na je kubadilishwa jina inaruhusiwa na utaratibu ukoje!?1. Huwezi kuendesha kampuni bila kulipa kodi, unless hiyo kampuni imesimama kufanya biashara kwa muda huo ndio hutolipa kodi, ila kama inafanya biashara kodi lazima ulipe
2. PAYE (Pay As You Earn) inakatwa katika mshahara wa mfanyakazi, ila ni kwa wafanykazi ambao mshahara wao (baada ya makato y NSSF) ni kuanzia sh 270,001 na kuendelea.. mfanyakazi anaepokea chini ya hapo hutakiwi kumkata PAYE
3. Unapoajiri unaandaa mikataba, mamlaka zitafahamu kuwa umeajiri pale utapoongeza idadi ya wafanyakazi katika sehem tofauti mf. NSSF, WCF, TRA n.k ndio maana inakupasa kuandaa Payroll ya wafanyakazi kila mwezi ili taarifa kama hizo ziwe bayana
Asante kwa fafanuzi.Sasa mkuu hebu tuanzie hapo kwenye kampuni haijasajiliwa!? Unafanyaje biashara na kuita kampuni pasipo kua una usajili!?
Kama hujasajili kampuni hizo hesabu ukishatunza utazipeleka wapi!? Maana hazitopokelewa TRA, Bank na kokote pale sababu hiyo kampuni unayoiandalia hesabu haipo kisheria
Anyway, nifafanulie hapo kwanza kwenye usajili wa kampuni
Nimesomea na nina ujuzi..Nina Bachelor Of Commerce in Accounting and Management(Upper Second Class) ya 1998 from University Of Dar es Salaam.Nimeshafanya kazi serikalini na kwenye taasisi binafsi.Naona nijiajiri mwenyewe kwenye anga hizi sababu nina uzoefu huu wa kufill Tax Returns na hata kuandaa Business Plan na Proposal(Hili nimejifunza tu mwenyewe na nimeshawaandikia watu na wakafanikiwa kuchukua mikopo hadi Bank)Hivyo ulivyovitaja hapo juu ni mambo ambayo una utaalamu nayo(umesomea)!? Je una uelewa na uzoefu wa kuvifanya kwa usahihi!?
Ila mchakato kwa ufupi tu unaanza na kujisajili. Usajili unaanzia Brela, TRA then unamalizia kuchukua leseni.
Naomba Ajira kabisa kaka hapo nikutaftie Market ya kitu unayofanya.Nimesomea na nina ujuzi..Nina Bachelor Of Commerce in Accounting and Management(Upper Second Class) ya 1998 from University Of Dar es Salaam.Nimeshafanya kazi serikalini na kwenye taasisi binafsi.Naona nijiajiri mwenyewe kwenye anga hizi sababu nina uzoefu huu wa kufill Tax Returns na hata kuandaa Business Plan na Proposal(Hili nimejifunza tu mwenyewe na nimeshawaandikia watu na wakafanikiwa kuchukua mikopo hadi Bank)
Sasa nataka kulifanya serious nifungue ofisi yangu mwenyewe iwe ndiyo full time kazi yangu kwa sasa Mkuu.Asante kwa ushauri.So nianzie Brela then TRA siyo?
Ila sina CPA je hicho kinaweza kuwa kikwazo?
Njoo inbox Kaka 0653750350 whatsappNaomba Ajira kabisa kaka hapo nikutaftie Market ya kitu unayofanya.
Ni utaratibu gani unatumika kuifufua kampuni ambayo imesimama kufanya kazi kwa muda wa miaka inayozidi mitano,kampuni ni ya Construction..Na je kubadilishwa jina inaruhusiwa na utaratibu ukoje!?
Nawezaje kupata tenda, nina kampuni y shughuli za usafi wa maofisini na majumbani
Process za kupata EFD machine kwa Engineering company ambayo si limitedKama una swali lolote linalohusiana na kampuni katika upande wa usajili wake, kufanya mabadiliko, kodi za TRA na chochote kile kinachohusu kampuni kwa BRELA na TRA uliza hapa nitakujibu.
Karibu
Mtaji wa kakampuni kadogo kadogoka kukopesha "micro credit" regulations zake
Process za kupata EFD machine kwa Engineering company ambayo si limited
Asante kwa fafanuzi.
Niweke swali kwa wepesi.
Nikishafungua kampuni ni hesabu gani za kuhifadhi ili zitumike katika kufanya maamuzi ya kikodi.
Nimesomea na nina ujuzi..Nina Bachelor Of Commerce in Accounting and Management(Upper Second Class) ya 1998 from University Of Dar es Salaam.Nimeshafanya kazi serikalini na kwenye taasisi binafsi.Naona nijiajiri mwenyewe kwenye anga hizi sababu nina uzoefu huu wa kufill Tax Returns na hata kuandaa Business Plan na Proposal(Hili nimejifunza tu mwenyewe na nimeshawaandikia watu na wakafanikiwa kuchukua mikopo hadi Bank)
Sasa nataka kulifanya serious nifungue ofisi yangu mwenyewe iwe ndiyo full time kazi yangu kwa sasa Mkuu.Asante kwa ushauri.So nianzie Brela then TRA siyo?
Ila sina CPA je hicho kinaweza kuwa kikwazo?
Hivi zile z report,risiti zake natakiwa kuzitunza?Hifadhi kila hesabu inayohusiana na kampuni mkuu.. kwanza kuwa na Expenses/Purchases ledger.. Hifadhi risiti zote za manunuzi, kwa manunuzi au matumizi yasiyo na risiti kuwa na angalau petty cash voucher…
na kwa kuongezea Kama uko vizuri kwenye account na kutumia system basi hifadhi kukbukumbu zako pia kwenye accounting software (Tally au Quickbook)
Asante sana je mzunguko unaweza unaweza kuchukuwa muda gani endapo nitakupa kazi hiiAcha nijibu kwa faida ya wengine pia ambao wanataka kujihusisha na biashara za kukopesa, nini na nini wafanye ili kupata kibali cha BOT ambao ndio wasimamizi wakuu wa biashara hii
MAELEZO YA JUMLA
1. Mwombaji anatakiwa awe amesajiliwa kwa mujibu wa sheria ya makampuni
2. Jina la kibiashara la mwombaji linatakiwa liwe na maneno yafuatayo “Microfinance”, “Finance” “Financial Services” “Credit” au “Microcredit”
3. Mwombaji anatakiwa kulipa ada ya maombi ya leseni ya shilingi 500,000 ambayo haitarudishwa
4. Mwombaji anatakiwa kulipa ada ya maombi isiyorudishwa kwa njia ya
uhamisho wa moja kwa moja wa TISS kutoka Benki zao kwenda Benki Kuu ya Tanzania
5. Mwombaji atahakikisha ana mtaji usiopungua shilingi milioni ishirini pale anapoanza biashara na wakati wote.
6. Sera ya Mikopo
Taarifa/Nyaraka zinazohitajika kwa ajili ya Maombi ya Leseni
1 Barua ya maombi
2. Slip ya Bank inayothibitisha malipo ya ada.
3. Uthibitisho wa chanzo na upatikanaji wa mtaji unaopendekezwa na mtoa huduma ndogo za fedha.
4. Nakala zilizothibitishwa za vyeti vya taaluma na utaalam vya wajumbe waBodi na Mtendaji Mkuu.
5. Audited Financial Statement (kama ipo).
6.TIN ya kampuni
7. Sera ya Mikopo.
8. Tamko kwamba fedha itakayotumika kuwekeza haikupatikana kwa njia ya
jinai au haihusiki na shughuli yoyote ya kijinai.
10.Copy za vitambulisho vya Directors na shareholders
11.Dodoso lililojazwa kikamilifu Kwa ajili ya Wakurugenzi, Mmiliki au Mtendaji Mkuu
12.Certificate of Incorporation
13. Memorandum
14.Board Resolution.
Asante sana je mzunguko unaweza unaweza kuchukuwa muda gani endapo nitakupa kazi hii
Hivi zile z report,risiti zake natakiwa kuzitunza?