ruby garnet
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 2,869
- 3,852
- Thread starter
- #261
Dahh. Out of point.Gesi tuliyonayo inauwezo wa kuzalisha mbolea kwa Muda wa miaka mingapi..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dahh. Out of point.Gesi tuliyonayo inauwezo wa kuzalisha mbolea kwa Muda wa miaka mingapi..!
Hakuna leseni ya madini inaitwa hati za kimila. Chukua coordinate Kisha nenda office za madini utaambiwa Kama pako wazi utamiluki. Hati ya kimila ni kumiliki shamba tu. Juu ya madini, inategemea Kama yapo au hayapo. Inahitaji kutafiti. Kama yapo utayapata na siyo sahihi ukichimba chini zaidi ndiyo unayapata. Inategemea na menyewe yapo wapi. Kuna sehemu dhahabu unaikuta juuu kabisa ya aridhi na kazi yako ni kuchota tu.Kwanza ninashukuru kwa kupata nafasi ya kusoma taarifa MBALI MBALI za madini,na kiujumla nimepata elimu kidogo ya kuanzia.
Anyway kwetu tarime katika shamba letu,nilikuta kwa juu juu kuna mawe flani ya kijani, nadhani kwenye picha ya mwanzo hapo juu,nikachukua na kuja nayo dar na kwenda kupima. Yakakutwa na dhahabu,iron,fe,na madini mengine zaidi ya 7.
Kwa kuwa lilipatikana usawa wa sehemu ambayo hata ukiingiza mguu hufiki kwenye goti,nikaambiwa nichimbe walau futi kadhaa chini,nilete mchanga upimwe na wao wanaweza kuniambia kuhusu usawa wa mwamba,aina za madini,wingi wake na wao huita hayo mawe ya kijani sana kuwa ndo makinikia.
Pia wakasema kwa aina ya hayo mawe, unaweza chimba chini then ukakutana na mawe meusi na ndipo unaweza pata dhahabu katika mawe hayo hasa kwenye kichuguu. Maana yake unakuta mawe meusi makubw,na hapo ndani ya hayo mawe magumu, ndani yake kunakuwa na dhahabu nyingi.
Naweza kupata utaalam kidogo? eneo hilo halijapimwa kwa Sasa hivyo nafanyia process za kupata eneo hilo kwa njia ya hati za kimila
Naomba kujua soko la chrome na pink tourmaline kwa sasa bei ipoje hapa tzHakuna leseni ya madini inaitwa hati za kimila. Chukua coordinate Kisha nenda office za madini utaambiwa Kama pako wazi utamiluki. Hati ya kimila ni kumiliki shamba tu. Juu ya madini, inategemea Kama yapo au hayapo. Inahitaji kutafiti. Kama yapo utayapata na siyo sahihi ukichimba chini zaidi ndiyo unayapata. Inategemea na menyewe yapo wapi. Kuna sehemu dhahabu unaikuta juuu kabisa ya aridhi na kazi yako ni kuchota tu.
Pink tourmaline inategemea imekaaje. I mean ubora wake rangi pamoja na ukubwa. Unapaswa kuchukua chache na kwenda nazo sokoni. Angalia solo lililopo karibu nawe au mabroker walio karibu nawe. Chrome ni metal inahitajika mchakato mkubwa, vizuri ikiwa imechenjuliwa Sasa Kama bado ipo aridhini labda uwekezaji wa kuchimba na kuchenjua Kisha sokoni. But huwa kunaviwanda china wananunua ore yake Ila kwa Sasa sijui zaidi mpaka kufatiliaNaomba kujua soko la chrome na pink tourmaline kwa sasa bei ipoje hapa tz
Mkuu ule unga wa mercury nyeusi na nyekundu bei yake ikojePink tourmaline inategemea imekaaje. I mean ubora wake rangi pamoja na ukubwa. Unapaswa kuchukua chache na kwenda nazo sokoni. Angalia solo lililopo karibu nawe au mabroker walio karibu nawe. Chrome ni metal inahitajika mchakato mkubwa, vizuri ikiwa imechenjuliwa Sasa Kama bado ipo aridhini labda uwekezaji wa kuchimba na kuchenjua Kisha sokoni. But huwa kunaviwanda china wananunua ore yake Ila kwa Sasa sijui zaidi mpaka kufatilia
Ruby naomba tuwasiliane please, nina jambo langu la gypsum kule kilwa.Pink tourmaline inategemea imekaaje. I mean ubora wake rangi pamoja na ukubwa. Unapaswa kuchukua chache na kwenda nazo sokoni. Angalia solo lililopo karibu nawe au mabroker walio karibu nawe. Chrome ni metal inahitajika mchakato mkubwa, vizuri ikiwa imechenjuliwa Sasa Kama bado ipo aridhini labda uwekezaji wa kuchimba na kuchenjua Kisha sokoni. But huwa kunaviwanda china wananunua ore yake Ila kwa Sasa sijui zaidi mpaka kufatilia
Mkuu baada ya kuhitimu degree miaka minne iliyopita bila ajira kuna jamaa kanishauri nikasome certificate ya mining processing kwa uzoefu wako baadae ya kuhitimu naweza kupata pa kujishikiza au ndo nitasungua benchi tu?Kunauchomaji wa Aina 3. 1. Kuchoma kwa Moto wa kawaida ili kutoa Mercury 2. Kuchoma kwa gas is uchafu wa wakawaida(physical uchafu) utoke na dhahabu ikae pekeyake hii ni kuchoma mpaka gold inayeyuka na Kuwa Kama uji kabisa.
3. Uchomaji wa kusafisha gold ili ipande asilimia ya purity, hii huitwa gold purification. Ndiyo huisafisha gold Hadi kufikia asilimia 99.99%
Kweli una madini,yachukue uka uze.Kuna teacher mmoja alinifundisha wakati nikiwa skuli flani akiniambia medulla yangu INA madini sasa nataka kujua madini hayo ni aina gani na nitayatoaje?
1. Nenda maabara ya vipimo vya madini gharama zao nahisi ni 50 kwa sample moja. Utajua hayo ni madini gani na thamani yake ipoje.ruby garnet kaka habari, haya mawe naomba kujua jinsi ya kufaidika nayo, kwenye eneo langu yapo View attachment 2335297View attachment 2335298
Zote mbili zinalipa na zote zinakata mtaji , inategemea wewe ipi unaipenda. Chagua uipendayo uchape kaziNina mtaji wa 25M naomba ushauri, ni kipi nifanye kati ya hivi (biashara ya dhahabu)
-kununua karasha na kusaga mawe kisha kutunza rundo (ludio)
-kununua rudio moja kwa moja na kupeleka plant?