Uliza ujibiwe kuhusu madini, gesi na mafuta

Umesema mafuta hayajagunduliwa Tanzania. Vipi report ya ziwa nyasa, tanganyika, Rufiji na Manonga river tabora?
Mafuta yapo yamegudulikq, shida kiasi gani?. Kama nikidogo hivyo siyo economic.
 
Vipi kuhusu bonded la Wembere, utafiti ulishaisha, unasemaje?
Utafiti bado unaendelea, utafuti wa mafuta na gas huwa unachukua zaidi ya miaka 10, mfano data za gas ni za miaka ya 60 hivi. Hivyo wembere bado kabisa wanaendelea na utafiti.
 
0.004g/tone. Ni everage ya Gold katika dunia. Hii ni sawa na data ya kwamba kila watu 10 sita wana HIV, huo ni wasitani haina maana kili ukikutana na watu 10 kati yao sita wana HIV. Ndiyo maana ya 0.004 ndugu yangu katika uchimbaji
 
ruby garnet pia Kuna uhusiano gani Kati ya dhahabu na mnyama kakakuona.

Je umewahi kuzisikia tuhuma za wachimbaji kule maduarani kuhusu kakakuona.
Hiyo imani tu. Dhahabu haina uhusiano kabisa na mnyama, labda baasi ya mimea flani inaota maeno ya madini kutokana na lutuba ya madini hayo. Lakini kwa wanyama hakuna uhusiano kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…