tatizo ni kwamba "je unaweza huko kujitawala mwenyewe?"Watu bwana.. Sasa mavoko angebaki wasafi mpaka lini???... na yeye anataka kuanzisha cha kwake.. sio kuwa chini ya mtu tena....tatizo wabongo tunapenda kutawaliwa sana badala ya kujiongoza wenyewe!!... [emoji125] [emoji125]
na tatizo ni hili ..unataka uanze kumi kwenda moja!.. badala ya kuanza moja kwenda kumi!..tatizo ni kwamba "je unaweza huko kujitawala mwenyewe?"
wimbo=singularKwani mavoko katoa nyimbo tena? Mi najua nyimbo yake ya mwisho kufanya ni ile alofanya Patoranking
Kaangalie tena nimeandika niniwimbo=singular
Nyimbo=plural
unless kama hujui maana ya singular and plural.....kasome tena ulichoandikaKaangalie tena nimeandika nini
Tundaman naye simuelewagi.siku hz anaimbaa mdumange sijui..anaunga tela la Z.anto,MB dogg,Tunda man na wengineo ambao waliponyoka mikononi Mwa watu Kama Said Fella na Taletale na wakaishia kuwaimbia masela tu mitaani japokua Ni wasanii wazuri