Umaarufu wa Rich Mavoko umeporomoka sana

Umaarufu wa Rich Mavoko umeporomoka sana

Watu bwana.. Sasa mavoko angebaki wasafi mpaka lini???... na yeye anataka kuanzisha cha kwake.. sio kuwa chini ya mtu tena....tatizo wabongo tunapenda kutawaliwa sana badala ya kujiongoza wenyewe!!... [emoji125] [emoji125]
tatizo ni kwamba "je unaweza huko kujitawala mwenyewe?"
 
Tatizo kwa mavoko sio promo bhana.......ni nyimbo anazotoa, kwa kweli siku hizi anatoa magoma ya ajabu ajabu sana.....sjui kadata na nn
 
Kwani mavoko katoa wimbo tena? Mi najua nyimbo yake ya mwisho kufanya ni ile alofanya Patoranking
 
Rich Mavoko sijawahi kuelewa anafanya nini.
Mavoko
DrddamLWwAAke_0.jpg
 
Back
Top Bottom