Tetesi: Umakamo wa Urais Zanzibar ni Joto

hapo kwenye jukumu la public servants ni ku serve under matakwa ya serikali husika. si chama.
sasa hapa ulivyo andika ni kama chama automaticaly kina overide even taratibu za kisheria za public servant.. kwamba wanatakiwa wafuate ilani.
this is bullshit
 
Mwanzo wa mjadala nilidhani ni mtu objective ila naona upo subjective sana. Kumbe issue sio tena kauli za wanasiasa majukwaani kuchochea watu kushambuliwa ila ni pale tu mlengwa anapokua CCM ndio inageuka ugaidi.

Kwa Lissu ni ngumu kuthibitisha kortini! Ila kwa umasho unadai serikali ina delay kesi kuwalinda na sio kwamba haina ushahidi!!

Uamsho wakitoa vitisho mnadai ni hatari kwa usalama ila wakitolewa kwa viongozi wa upinzani eti ni maneno ya kutunga na kutafuta sympathy!!

Kwa mentality hii itachukua miaka 100 kufikia maendeleo ya kweli Afrika.
 
Kaaazi kweli kweli

Wewe ndio unaniwekea maneno yako.

Mimi: nimeweka partly evidence za uamsho ya mihadhara yao wanayoweza shitakiwa nayo kwa sedition, kuna clips za violent encitement of social unrest na uhaini (serikali inaweza washitaki kwa lolote hapo) ndio maana nikasema mimi sio DPP maana kuna enough evidence mpaka za kesi za kunyonga.

Why are they delaying it ndio maana nikasema I don’t know the motive. Inawezekana awataki kuwanyonga isipokuwa they want them to reform, sasa kuthibitisha hilo ni wewe kuongea na masheikh wa uamsho kusema wametubu au misimamo yao ikoje leo; for us to remove pity out of the equation.

Vinginevyo it’s a mystery to why the government is delaying taking action when they have all the necessary evidence.

Swala la Lissu is a different matter huna huo ushahidi wa wahusika kama nilivyomwambia mchangajiaji mwingine proving for GBH is not straight forward kama wewe unavyodhani au Lissu anavyoongea.

Or else prove it serikali inahusika.
 
Wana legitimate ya miaka 5 tu. Chama chochote kitakachojidhatiti chaweza kuwa tawala.
Imbecile!
 
Fear driven argument. Relax.
 
Huna lolote mkuda wewe unapigia chapuo muungano feki tu
 
Jamaa zangu wa kisiwa cha pili bado sana kumkubali Bw. Othman! Na tatizo kubwa ni ubaguzi tu!

Wanadai kuwa ameoa kafir..... Kumbuka tu mtu yoyote toka Bara bila kujali imani yake huonekana ni kafir.
 
Kuprove ni kazi ya Lissu au DPP? Maana ilipaswa forensic investigation ifanyike kujua mnyororo wote wa walioruhusu uhuni huo ufanyike. Kumdai Lissu ushahidi wkt yye hana mamlaka ya ku order forensics ni kumuonea tu!

Lissu alitoa namba za simu na gari owa vyombo vya habari kusema zinataka kumuua. Polisi wakadai hawafanyii kazi habari za mitandaoni. Ila uamsho kwa kutoa clip zao mitandaoni wamekamatwa!! Hzi double standard ni kwa faida ya nani?

Kuhusu reforms.... Kwani wakiwatoa kwa probation au exile hawawezi kureform? Mbona kina Mramba mliwatoa na kuwa subject kwa kazi ngumu hadi wareform!! Kwa uamsho kuwa reform ni kuwaweka mahabusu bila kumaliza kesi?

Mkuu ukitaka uwe mkweli jaribu kuwa na msimamo mmoja kwa kila kitu usitake kufanya treatment ya mtu aa serikali ni special kuliko ya raia wa kawaida
 
Tusizunguke sana,

Hapo Masoud apewe nafasi mambo mengine yaendelee...kuleta vitisho vya uamsho na itikadi kwenye hili jambo ni dalili za kukosa hoja.

Kwanza ni msomi, amejijengea heshima kwa kuonyesha uwezo wa kusimamia anachokiamini na kina manufaa kwa umma.

Ni mtu pekee ataendeleza harakati za upinzani wenye tija Zanzibar.

Lakini pia anauungwaji mkono mkubwa sana kutoka Pemba, kitu muhimu sana kwa hiyo nafasi kuwaunganisha Wazanzibar.
 
Wewe muongo mkubwa , hakuna ushahidi wowote kwamba Othman ni uamsho, nyinyi CCM munamuogopa kwa msimamo wake dhidi ya muungano haramu
 

Utoto mwingine bana ni hatari, kama ni hivyo kwanini Magufuli aliagiza yule daktari aliyekwenda kwenye hospitali ya private afuatiliwe?
 
Sio Maalim Seif huyo hana shida ya madaraka, shida yake yeye ni Zanzibar huru that’s his life ambition.

The making of a dangerous demagogue....
Mpaka amekubali uteuzi ni kwamba ashalegea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…