Umakini wa kuishi na dada wa kazi majumbani kwetu

Ni kweli. Lakini ni vyema pia muhusika alizie au utafute wa imani yako kabisa.

Vinginevyo wote wawili wewe na huyo dada wa kazi mnakua mnamuongopea Mungu kumuaminisha amekubali kwa hiari yake which is not true.
Familia nyingi huwa wanajipa maamuzi ya kuwabadilisha imani! Kadada kanaitwa Khanifa ila mwezi moja tu tayari unashangaa kanaitwa Neema.
 
Tunaposema mke asifanye kazi haimaanishi maisha yake yote atakaa nyumbani that's why hata hao unaodhani hawakusoma na wapo kwenye ndoa utawakuta nao kuna kipindi itabidi watoke.

Lakini maisha yanakosa mantiki kama wote baba na mama mnaondoka asubuhi na kuacha watoto chini ya miaka 10 na mtu msiyeijua historia yake angalao kama mtoto wa mwisho ana miaka kumi (means wengine wapo 12&15) hawa wakiachwa wanajua kujitetea siyo hao makinda,itabidi waoaji hili la wanawake weliosoma nalo waangalie jinsi ya kuwaepuka
 
Na pia kuna mwanamke msomi na mwanamke wenye elimu!
 
Hao utakuta mwalimu, mwanasheria, daktari kuna muda maalum wa kuingia na kutoka kazini si kila mmoja anaweza kujiajiri.
Si kitu poa dada wa kazi kukulelea watoto, ila demand za maisha zimekuwa nyingi, wanawake wanasoma siku hizi nao wakaajiriwe mambo yako less.
 
Ni kweli ila mtoto awe na priority zakkatika maisha! Kwa mwanamke ni ngumu sana kulea mtoto wa mwezake tena akiwa hajawahi kuzaa!
 
Kuna mama moja wa kichaga, jiran yangu gapa GOBA anapiga wasichan wake ni balaa.
Mara kwa mara unaona wasichana wa kazi wapya.

Hawa watu ni wagumu sana kuishi nao ndani, kama mfanyakazi au kama mume.
 
Wapelekeni watoto wenu daycare center unampitia jioni, unarudi home unafanya kazi zako kama kawaida, ujio wa hawa dada wa kazi umeleta uvivu na uzembe kwa wanawake
 
Wapelekeni watoto wenu daycare center unampitia jioni, unarudi home unafanya kazi zako kama kawaida, ujio wa hawa dada wa kazi umeleta uvivu na uzembe kwa wanawake
Hivi ile kesi huko kimara mtoto naye aliuliwa na dada wa kazi
Ilisemekana imeishia vp
Nakumbuka wazaz wa mtoto wote walikuwa madokta

Ova
 
Hivi ile kesi huko kimara mtoto naye aliuliwa na dada wa kazi
Ilisemekana imeishia vp
Nakumbuka wazaz wa mtoto wote walikuwa madokta

Ova
Dah! sijapata taarifa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…