kibaigwa finest
JF-Expert Member
- Oct 18, 2026
- 411
- 445
Hiyo biashara naichukia kwanini serikali jaichukui hatua
Kwamba hizo sehemu ni madanguro ausio!!! Hatari sana
Mnavo watuhumu watu mashoga vile huwa mnakua na uthibitisho? Mmeguswa kwenye uwanja wenu eeeh?Ukiambiwa thibitisha hii lodge ni danguro na huyo alikuwa anajiuza utaweza?