Yani ni ngumu sana mwanaume kujua huyu mdada anajiuza barabarani alafu amuoe KalpanaBasi au umuoe tuu awe wako...at least hutakosa walau mara 3 kwa wiki
Yani ni ngumu sana mwanaume kujua huyu mdada anajiuza barabarani alafu amuoe KalpanaBasi au umuoe tuu awe wako...at least hutakosa walau mara 3 kwa wiki
so sad aseeeAliacha mtoto mdogo kwa Wazazi wake.
Tatizo hao malaya hua wanafyatukaga na kua wa ajabu ajabu na majibu ya ajabu ajabu achana na kuangalia innocent face wengi wana innocent face but deep down inside ni manunda kinoma sasa akikutana na muhuni kashatoka kula bangi zake huko kinaumanaAnaona watu wanauza miili yao, wateja hawalazimishwi, wanapenda wenyewe, hakuna anayeibiwa, tatizo liko wapi? 😂😂
Hapana usimuoe huyo wa barabarani tafuta binti mzuri unaemfahamu vzr...achana na hao kwanza hawawezi kutulia...anko wangu alioa bar maid kisa alikua anamuhudumia vzr akienda hapo anapouza..alipomuweka ndani alijuta..Yani ni ngumu sana mwanaume kujua huyu mdada anajiuza barabarani alafu amuoe Kalpana
Wanaipenda hii sababu ni hatari! Wauza bar nao ndio zao.Baba mzazi wa Binti anadai mwanaye alimwambia yupo Arusha anauza Duka.
Huyu ni malaya anaongea malaya nunda jeuri kiburi mwenye dharau mfululizo na anajivunia kuuzakumaHapana usimuoe huyo wa barabarani tafuta binti mzuri unaemfahamu vzr...achana na hao kwanza hawawezi kutulia...anko wangu alioa bar maid kisa alikua anamuhudumia vzr akienda hapo anapouza..alipomuweka ndani alijuta..
Sawa lakini kunatofauti gani nakuoa mwanamke asiye bikra nayeye SI tayari anachapwa, tofauti ni jina TU LAKINI kitendo ni kilekileHii biashara wangepewa leseni na vitambulisho kabisa. Pia iwe ni sharti kupima magonjwa ya maambukizi kila baada ya miezi mitatu na status zao ziwekwe kwenye ID zao. Vilevile kuwe na sheria za kulinda wateja na wao pia.
NB: Binafsi naona kinyaa kulala na mwanamke wa kununua nikijua kabisa kuna jamaa mwingine katoka kuichapa
Wasingida nawakubali kinoma 😜Ila mademu wa Singida na Shinyanga wakali knoma 🔥
Unavunja ethics za afya hasa ile ya confidentialityHii biashara wangepewa leseni na vitambulisho kabisa. Pia iwe ni sharti kupima magonjwa ya maambukizi kila baada ya miezi mitatu na status zao ziwekwe kwenye ID zao. Vilevile kuwe na sheria za kulinda wateja na wao pia.
NB: Binafsi naona kinyaa kulala na mwanamke wa kununua nikijua kabisa kuna jamaa mwingine katoka kuichapa
Danguro ni ni i na guest ni nini, iweje awe na kosaKwenye huu mkasa kuna jamaa wa hilo danguro alirekodiwa anatoa ushahidi kabisa.
Kuna Watanzania wajinga sana.
Labda ungesikiliza hiyo audio, jamaa alifunguka kabisa kwamba hapa wasichana huwa wanapanga kwa shilingi 30,000 kwa siku, wanakuja na wateja wao, kuna matron wao anawaangalia.Danguro ni ni i na guest ni nini, iweje awe na kosa
Sasa hapo kakosea wapiHuyu ni malaya anaongea malaya nunda jeuri kiburi mwenye dharau mfululizo na anajivunia kuuzakuma
View attachment 3693710
mimi nikijua tu kuwa huyu amewahi pigwa pipe na mzee, huwa nasikia kinyaa sana,...Hii biashara wangepewa leseni na vitambulisho kabisa. Pia iwe ni sharti kupima magonjwa ya maambukizi kila baada ya miezi mitatu na status zao ziwekwe kwenye ID zao. Vilevile kuwe na sheria za kulinda wateja na wao pia.
NB: Binafsi naona kinyaa kulala na mwanamke wa kununua nikijua kabisa kuna jamaa mwingine katoka kuichapa
Nipo Diet baada ya vikao vingi kisekta.Hahaha umekula kwanza?
Kinywa hicho hicho anamuimbia Allah! poor me!Kumbuka huyu ni malaya anafyatuka
View attachment 3693631
SeenNipo Diet baada ya vikao vingi kisekta.
suala la Kuuza wanawake kama bidhaa tulikatae na tutoe tarifa Polisi ,
NakaziaPole nyingi kwa familia ya mgawa uroda
Umetuchanganya mwanasheria wetu ujue!Tukio la kusikitisha lililotokea Arusha , kwa kifupi binti anauza uchi, amepanga nyumba ambayo ni Danguro , kosa la jinai lakini walikuwa na matron wao, menas Kumiliki danguro ni kosa la jinai na kuishi au kufaidika na mapato ya biashara ya ngono (kuuza mwili) ni kosa kisheria chini ya Kanuni ya Adhabu.
1. Kunukuu Sheria Kuhusu Kumiliki Danguro (Brothel)
Kufungua, kumiliki, au kusimamia nyumba au chumba kwa ajili ya biashara ya ngono ni kosa la jinai. Kanuni ya Adhabu inatamka hivi: Kifungu cha 148 (Section 148): “Mtu yeyote ambaye anamiliki, anaendesha au anasimamia nyumba, chumba, au sehemu yoyote kwa ajili ya madhumuni ya ukahaba anatenda kosa.”
2. Kunukuu Sheria Kuhusu "Kuuza Malaya" (Kufanya na Kufaidika na Ukahaba)
Sheria haizuii tu kitendo chenyewe cha ngono, bali inafanya kuwa kosa la jinai kuishi kwa kutegemea mapato yanayotokana na ukahaba au kushawishi watu kufanya hivyo: -
------Kifungu cha 145 (Section 145): Inahusu mwanamume anayeishi kwa kutegemea mapato ya ukahaba au anayeomba/kushawishi hadharani kwa madhumuni ya ukahaba.
------Kifungu cha 146 (Section 146): Inahusu mwanamke anayeishi kwa makusudi (kwa sehemu au kikamilifu) kwa kutegemea mapato ya ukahaba, au anayemsaidia au kumdhibiti kahaba kwa masilahi yake.
3. Nyumba ya Danguro inaweza kutaifishwa na Serikali.
Chini ya Kifungu cha 25(e) cha Kanuni ya Adhabu (Penal Code), mahakama ina mamlaka ya kutoa amri ya kutaifisha mali yoyote (Forfeiture Order) ambayo imetumika kutenda kosa la jinai au ambayo ni zao la uhalifu. Ikiwa mmiliki wa nyumba (mwenye nyumba au mpangaji) atapatikana na hatia ya kujua na kuruhusu nyumba hiyo itumike kama danguro, mahakama ina nguvu za kisheria kutaifisha jengo hilo kuwa mali ya Serikali.
View attachment 3693578
View attachment 3693579