Umalaya na Umiliki wa Danguro ni Kosa La jinai

Umalaya na Umiliki wa Danguro ni Kosa La jinai

Mabinti wa Singida ...
Ukikaona ka marehemu kwenye picha hapo unaona kama mtu wa maana unaweza hata fikiria ndoa au uchumba kumbe takataka kabisa.
%75 ya wanawake tunakutana nao barabarani na mitaani leo ni professional whores wanajiuza, ni vile hujajua ru wanaoofanyia hiyo kazi
 
Hii kitu wakati ninafundishwa somo la Maadili (Ethics) enzi za Mwalimu, niliambiwa mwanamke kwa hiyari yake mwenyewe akiamua kujiuza inatengeneza kitu kinachoitwa moral dilemma.
Dah unanikumbusha mbali makere university lecturer wetu wa psychology Avitus lipumba.
 
Labda ungesikiliza hiuo audio, jamaa alifunguka kabisa kwamba hapa wasichana huwa wanapanga kwa shilingi 30,000 kwa siku, wanakuja na wateja wao, kuna matron wao anawaangalia.

Yani hakufanya siri kwamba hapo panafanhika biashara ya wanawake kujiuza kingono.

Kwa hiyo ni kitu kinachoeleweka kabisa kwamba hapo wanafanya biashara ya ngono na wanaingiza wateja mbalimbali na wanalipia 30,000 kwa siku.
Nimekusoma
 
682A0E45-EAEB-4D83-8E14-7818B94BBEC3.jpeg
Mbaga Jr faida ya kuoa wanawake wa kanda ya ziwa😎
 
Labda ungesikiliza hiyo audio, jamaa alifunguka kabisa kwamba hapa wasichana huwa wanapanga kwa shilingi 30,000 kwa siku, wanakuja na wateja wao, kuna matron wao anawaangalia.

Yani hakufanya siri kwamba hapo panafanyika biashara ya wanawake kujiuza kingono.

Kwa hiyo ni kitu kinachoeleweka kabisa kwamba hapo wanafanya biashara ya ngono na wanaingiza wateja mbalimbali na wanalipia 30,000 kwa siku.
Wapo kisheria utaniuliza sheria ipi muulize aliewapa kibari hizo zipo Nchi nzima km haujui kitu uliza zipo kibao kila kona ya Nchi wapo na wanafanya hizo shughuli all over the country huwezi ukaenda popote Nchi hii usiwakute wapo nilienda Mwanza, Shinyanga, Kahama, Singida, Tabora, Dodoma, Ruvuma, Geita, Songea, Mtwara, Lindi, Iringa, Njombe, Mbeya, Kigoma, Arusha, Moshi, Kilimanjaro, Katavi, Rukwa, Sumbawanga, mpaka Zanzibar mfumo ni huo huo na hizo nyumba zinasajiriwa kabisa na zina leseni ya makazi na vibari wanavyo unaenda kumshtaki mahakama ipi kwa kosa lipi?

Usisahau kwamba pamoja na yote hayo wanalipa kodi wanailipa serikali kuu na serikali ya mtaa, wanawalipa polisi kwa ajili ya ulinzi yaan kila baada ya muda polisi wanafuata mgao wao hapo hio ni chini kwa chini ili wasije kuwazoa, wanalipa ulinzi shirikishi wanaolinda huo mtaa, wanalipa jiji, wanalipa faya na fire extinguisher zipo hapo, wanalipa idara ya maji, maji yanaletwa hapo yanalipiwa sio bure, wanalipa umeme wa tanesco, wanalipa mambo mengine km usafi, masuala ya afya maboksi ya condoms maboksi kwa maboksi, bado kuwaalipa walinzi na waangalizi wa CCTV, nk zote hizo ni gharama wewe unaangalia 30k tu kwa siku huangalii wanaiingizia serikali kiasi gani au unafikiri serikali pesa zote inazozipata ni safi?

Zingine zinatoka huko dirty blood money zinaingia pia kwenye mfumo wa kodi, haramu inageuzwa inakua halali
 
Back
Top Bottom