mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 7,676
- 10,342
NmefanyajeSasa wewe
NmefanyajeSasa wewe
Nani kawanyima au mnajiendekeza tuu...Sasa ndiyo muwe mnawapa msiwanyime
Tatizo mnajua halafu mnjifanya wehu kuwanyiwa wanaume
Wapeni huo utelez kwan anaondoka nayo
Nmefanyaje
Duka🤣 zingatia neno dukaBaba mzazi wa Binti anadai mwanaye alimwambia yupo Arusha anauza Duka.
Ila mademu wa Singida na Shinyanga wakali knoma 🔥Mabinti wa Singida ...
Naunga mkono hoja.Mi nadhani ingekua tuu biashara huru na itengewe maeneo rasmi walipe kodi..😇😇
La sivyo wanaume watabaka mpaka kuku...maana akili zao zikishuka chini hawaangalii. Kama kichaa anazaa hapo kuna nini tena...
Na camera za usalama za kurekodi matukio yote muhimu ya wateja wanaokwenda kupata huduma, ziwekwe kwenye hayo madanguro.Na walipe na kodi
No comment 👐Naunga mkono hoja.
Hii ni biashara nzuri sana, nishawahi kufanya nyumba yangu Danguro miaka ya nyuma, inalipa sana.
na atakua alikua anampa baba hela kidogo mwisho wa mweziBaba mzazi wa Binti anadai mwanaye alimwambia yupo Arusha anauza Duka.
Wallah tena katoto ni kazuri 😋Chombo ya Singida hiyo,Mnyaturu.
Wairaq nao wengi wanatusaidia utamuMabinti wa Singida ...
Ni watu wachache sana watakuelewa.Mi nadhani ingekua tuu biashara huru na itengewe maeneo rasmi walipe kodi..😇😇
La sivyo wanaume watabaka mpaka kuku...maana akili zao zikishuka chini hawaangalii. Kama kichaa anazaa hapo kuna nini tena...
Mzee alipewa ujumbe kwa code akashindwa kuifungua😅Duka🤣 zingatia neno duka
Akili zimejam mtani watanzania wanapitia mengi...Ni watu wachache sana watakuelewa.
Mzee ni mzito sana code ilikua nyepesi mno😅Mzee alipewa ujumbe kwa code akashindwa kuifungua😅
Kuna wale waliojitenga maarufu kwa wahaya ,huwa wanasumbukiwaga na wenyewe, vyema wakarasimisha tuMi nadhani ingekua tuu biashara huru na itengewe maeneo rasmi walipe kodi..😇😇
La sivyo wanaume watabaka mpaka kuku...maana akili zao zikishuka chini hawaangalii. Kama kichaa anazaa hapo kuna nini tena...
Aliacha mtoto mdogo kwa Wazazi wake.na atakua alikua anampa baba hela kidogo mwisho wa mwezi