Umalaya na Umiliki wa Danguro ni Kosa La jinai

Umalaya na Umiliki wa Danguro ni Kosa La jinai

Hii biashara wangepewa leseni na vitambulisho kabisa. Pia iwe ni sharti kupima magonjwa ya maambukizi kila baada ya miezi mitatu na status zao ziwekwe kwenye ID zao. Vilevile kuwe na sheria za kulinda wateja na wao pia.

NB: Binafsi naona kinyaa kulala na mwanamke wa kununua nikijua kabisa kuna jamaa mwingine katoka kuichapa
Sawa sawa
 
Kwenye huu mkasa kuna jamaa wa hilo danguro alirekodiwa anatoa ushahidi kabisa.

Kuna Watanzania wajinga sana.
Ishakua kawaida sio wajinga ni vitu vilivyosajiriwa kisheria kabisa yaan sheria hio hio inakataza na sheria hio hio kwa kutumia loopholes zingine inaruhusu, sijui unaelewa maana yake nini?
 
Kumbee 😆😆
Ila kama wanatumia kinga sawa la sivyo mhhh naona ni magonjwa tu wanajichukulia...
Tembea uone sio magorofa ila wale manunda siwapendi kaabisa hata km wanasoma hapa wewe ni malaya nunda ukiingia room unaanza kua mbabe sikupendi mtauliwa sana nyinyi wenyee hizo tabia za kinundanunda mara unataka kupigana na mteja na anakulipa oya kwani hii si biashara?

Najua wanasoma hapa muda huu wanachezea simu za mkopo na JF hua wanaingia kusoma kwa hio hata hapa watasoma nyie manunda acheni hizo tabia
 
Kwenye huu mkasa kuna jamaa wa hilo danguro alirekodiwa anatoa ushahidi kabisa.

Kuna Watanzania wajinga sana.

Biashara ya kujiuza ni kongwe mno na ni ngumu kuidhibiti, ni bora wahusika watambulike na walindwe kisheria

Mi nadhani ingekua tuu biashara huru na itengewe maeneo rasmi walipe kodi..😇😇
La sivyo wanaume watabaka mpaka kuku...maana akili zao zikishuka chini hawaangalii. Kama kichaa anazaa hapo kuna nini tena...

Hii biashara wangepewa leseni na vitambulisho kabisa. Pia iwe ni sharti kupima magonjwa ya maambukizi kila baada ya miezi mitatu na status zao ziwekwe kwenye ID zao. Vilevile kuwe na sheria za kulinda wateja na wao pia.

NB: Binafsi naona kinyaa kulala na mwanamke wa kununua nikijua kabisa kuna jamaa mwingine katoka kuichapa

Tena ni vizuri maana kuoa asaivi ni kosa la jinai tena wafungwe wanaooa

Hii kitu wakati ninafundishwa somo la Maadili (Ethics) enzi za Mwalimu, niliambiwa mwanamke kwa hiyari yake mwenyewe akiamua kujiuza inatengeneza kitu kinachoitwa moral dilemma.

Naunga mkono hoja.

Hii ni biashara nzuri sana, nishawahi kupanga nyumba nikaifanya Danguro miaka ya nyuma, inalipa sana.

Na camera za usalama za kurekodi matukio yote muhimu ya wateja wanaokwenda kupata huduma, ziwekwe kwenye hayo madanguro.
ndio maana nikaja na huu uzi.

ni mwendawazimu asiyejua kuwa hii biashara imesheheni.
ni swala la kuruhusu waziwazi na sheria kali
kwa watakao kiuka yaani kufanya magendo. mawaambia taifa litaingiza fedha za kutosha sana na fedha hizo kujenga maghorofa ya madarasa nchi nzima.
 
Nani kawanyima au mnajiendekeza tuu...
Sasa mahusiano mengi ya kimapenzi sikuhizi yamekua commercialized, inabidi utoe hela ndo upate girlfriend, na ukiwa na girlfriend mara nyingi ni very expensive, mara uombwe smartphone, ulipe Kodi yake ya chumba, umnunulie nguo, na akusumbue kukupa utelezi apo pesa zinakuchomoka, na una risk kipato chako maana unaeza honga na usiambulie kitu..

Mtu anaona mambo yasiwe mengi akiwa na elf 10 yake au elf 5 anapita riverside, au velvet sinza anaenda kushusha wazungu, huku akitongoza wadada wengine taratibu, mishahara yenyewe hii ya wanaume wengi ni ya laki 2 kwa mwezi, utahudumiaje mwanamke Kalpana
 
Pole mdogo wangu nakuelewa...
Basi au umuoe tuu awe wako...at least hutakosa walau mara 3 kwa wiki...
Shida nyie mnapenda sana ku do kuliko wanawake hyo ipo biologicaly...unaweza ukaoa na usitosheke..ndo maana na mm naunga mkono hao wa kujiuza wawe official na watambuliwe na serikali muwe mnaenda kujipumzikia huko...😏😏
 
Back
Top Bottom