kibaigwa finest JF-Expert Member Joined Oct 18, 2026 Posts 411 Reaction score 445 Oct 20, 2026 #101 Hiyo biashara naichukia kwanini serikali jaichukui hatua
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,495 Reaction score 185,562 Oct 20, 2026 #102 Smart911 said: Kwa hiyo kumiliki Guest, Lodge au hotel ni kosa la jinai? Cc: Mahondaw Click to expand... Kwamba hizo sehemu ni madanguro ausio!!! Hatari sana
Smart911 said: Kwa hiyo kumiliki Guest, Lodge au hotel ni kosa la jinai? Cc: Mahondaw Click to expand... Kwamba hizo sehemu ni madanguro ausio!!! Hatari sana
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 123,324 Reaction score 202,767 Oct 21, 2026 #103 Prince Luanda said: Ukiambiwa thibitisha hii lodge ni danguro na huyo alikuwa anajiuza utaweza? Click to expand... Mnavo watuhumu watu mashoga vile huwa mnakua na uthibitisho? Mmeguswa kwenye uwanja wenu eeeh?
Prince Luanda said: Ukiambiwa thibitisha hii lodge ni danguro na huyo alikuwa anajiuza utaweza? Click to expand... Mnavo watuhumu watu mashoga vile huwa mnakua na uthibitisho? Mmeguswa kwenye uwanja wenu eeeh?
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 123,324 Reaction score 202,767 Oct 21, 2026 #104 ππππ Unafiki wa Waja uko hapa, Watu wanamshambulia mtoa uzi, kisa kawapiga kwenye mshono, Woiiiiiiih!!!!!
ππππ Unafiki wa Waja uko hapa, Watu wanamshambulia mtoa uzi, kisa kawapiga kwenye mshono, Woiiiiiiih!!!!!