Umalaya ni mbaya sana! Ewe mwanaume mwenye familia, itunze

Hili bandiko lako ukiliangalia vizuri kwa jicho la ziada utaona wazi kuwa wewe ulikuwa na bado una shida ya wivu na chuki dhidi ya huyo jamaa yako na unafurahi kuanguka kwake. Unajisikia Raha na kudhani Hana akili wewe ndo uko smart kwa sababu sasa hivi kaelemewa na majukumu.
Umeandika kwa papala na umeongeza uongo mwingi kwa chuki.
Hata hivyo, ni sahihi na Jambo jema kujali familia na kuepuka michepuko.
 
Leo anampeleka mwanaye kweli awe Polisi? Inasikitisha sana.

Mi mwenyewe pamoja na kuuza kwangu madafu, siwezi na sitaruhusu mwanangu awe Polisi.
Mtoto wake mwingine kakwea Lori Juzi toka Mwanza anaelekea Dar kapokea meseji ya JW wanamwambia aende akajitolee mtaani kugumu
 
Chuki kwa ajili ya nini we mamdogo? Acheni umalaya hausaidii kitu.
 
Inasikitisha, jamaa akashindwa kumpa mwanaye mtaji hata wa 10M dogo afungue duka la viatu Moro. Yeye anapambana na uchi tu. Yaani mzee mzima mwenzangu mwenye miaka 50's anakuwa ndio kama anaanza balehe.

Inasikitisha. Mungu amsaidie.
Au alipigwa dawa maana sikuhizi hawakulogi ufe, unarogewa kitu kitakachomaliza hela yako.
 
Mwambie arudi kwa sheikh aloge crdb na wadeni wengine alaf ndo tuendelee na mengineyo.
 
Umeona umzamishie kichwa tu kwanza
 
Kw
Kweli majuto huja maji yamemwagika!Apambane tuu kuwasomesha Bado hajachelewa!
 
Ni mfumo na Asili ya Maisha tuu,,,kila MTU anatandikwa Kwa namna yake hakuna likosalo sababu hasa Kwa hulka zetu Wana wa Adam.
 
Mwambie arudi kwa sheikh aloge crdb na wadeni wengine alaf ndo tuendelee na mengineyo.
Hahaaaaaa ana shehe mmoja rafiki yake pale BAKWATA Morogoro ndio anampotosha.

Sasa anashinda ndani analia kuishiwa, akichoka kukaa ndani anaenda kwenye vilinge vya vijana wa boda na magazeti pale karibia na CRDB Moro na kuanza kujisifia kuwa ana wanawake wengi.

Hii dunia hii. Inasikitisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…