Muuza madafu wa Ikulu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2024
- 1,277
- 2,888
- Thread starter
- #41
Ila sio kwa kushindana na uchi mkuu. Hata mi nitaweza filisika ila sitafilisiwa na tundu la mwanamke. Hayo mambo yana umri ndugu yangu. Kwenye miaka yetu hii 50's unasumbuliwa na wanawake tena mwanamke Polisi mwenye miaka 30's na mvuta bangi? Tulimshauri sana ila dah.Ni mfumo na Asili ya Maisha tuu,,,kila MTU anatandikwa Kwa namna yake.
Inasikitisha, byee. Ngoja nikapambanie wanangu.