Umalaya ni mbaya sana! Ewe mwanaume mwenye familia, itunze

Wewe ndio unaonekana mwenye chuki. Maana jamaa katutaadharisha. hili andiko sio kwaajili ya aliyefilisika ni kwaajili yetu. Au na wewe uko kwenye huo mfumo?
 
Tafuta mwanamke mwenye hadhi kama umeshavuka kiwango fulani cha elimu
Hadhi (ya juu) na elimu (ya juu) ndiyo chanzo cha kuvunjika kwa ndoa nyingi miaka hii.

Ewe mwanaume unapaswa kuoa mwanamke mwenye hadhi ya chini na elimu ya darasa la 7. Utanishukuru.
 
Hadhi (ya juu) na elimu (ya juu) ndiyo chanzo cha kuvunjika kwa ndoa nyingi miaka hii.

Ewe mwanaume unapaswa kuoa mwanamke mwenye hadhi ya chini na elimu ya darasa la 7. Utanishukuru.
Hujanielewa we jamaa.
 
Starehe bila kuwaza kesho itakuaje ni kujiandalia gereza la mateso, na ndicho kinachotukumba wanaume wengi. Wengi wanazalisha hovyo hovyo tu na wanaume wa hivyo huwa wanakuwa na wake wa ndoa wavumilivu sana, hawahudumii familia wakishajenga wanadhani wamemaliza kila kitu. Wanakuja kushtuka dakika za jioni jahazi linazama na hawana msaada wowote wanangojea kufa tu.
 
Ni anatia huruma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…