Umasikini mbaya nyie bora kusikia tu. Watoto wangu nimewarejesha tena English Medium

umeandika kwa hasira sana mkuu, kuna pahala ulijikwaa that's why ukaangukia pua na hio ndo maana halisi ya MAISHA. you need not to blame no one

welcome back to the winning days 🤝
 
Ulileta uzi kuna wapuuzi wakajifanya wanajua eti bora umpeleke mtoto shule ya kata. Kupeleka english medium ni kujionyesha. Wakaanzisha na thread. Bora umerudi. Sasa uwe balozi waambie kuwapeleka huko ni umaskini. Shule zetu ni nzuri ila ufatiliaji ni mzito so bora tuwapeleke huku kwenye shule za english medium. Kwribu sana kwenye chama. Unipe namba ya whatsapp nikuadd kwenye group.
 
Rais Wa Mioyo Yetu Mheshimiwa Sana Sana
Edward Lowasa Alisema Endapo Angetwaa Madaraka Basi Angeweza Kuelekeza Nguvu Ya Serikali Yake Kwenye Vipaumbele Vinne Navyo Ni Hivi:-
1. Elimu
2. Elimu
3. Elimu
4. Elimu
 
Miezi kadhaa iliyo pita nilianzisha Uzi hapa jukwaani nikielezea "FAIDA"nilizo zipata baada ya kuwahamisha watoto wangu kutoka English Mediums na kuwapeleka kayumba.

U know what? Ilikuwa ni umasikini mkuu. Umasikini mbaya sana. The evil spirit of poverty is very evil. Ndio maana huko Shinyanga wakikujua wewe mchawi unawatia watu vifungo vya umasikini unakula mapanga tu kama ilivyo amriwa kwenye kitabu cha KUTOKA 18:22 ( KUTOKA 22:18?)

Namshukuru Mungu sasa nyota yangu ya hela imerudi tena. Biashara zimesimama. Ile ishu niliyo kuwa naisikilizia imesha tiki. Watoto wangu nimewarejesha tena shule za English Mediums na maisha mengine yanaendelea.

NINAUKATAA NA KUULAANI UMASIKINI KWA NGUVU ZANGU ZOTE ROHO YANGU YOTE NA AKILI ZANGU ZOTE.

Watu wote walio nitosa wakati napitia kipindi kigumu hasa hasa wale ambao niliwahi kuwasaidia nimewasamehe wote but I will never hang up with you again . I will never help you about anything. You will never get even a penny from me. I eill never pick up your phone. I will never call you I will never reply to ur message. ( I am.saying I will.never pick up ur phones as if namba yangu mpya mnaijua/mtaijua) I will give anyone of you a lift in any of my cars. Ntaonana na nyinyi labda kwenye misiba too and even though still I will.never talk to you again cause I don't know anything that me and you can talk about )

Na kwale ambao mlisimama na Mimi katika kipindi hicho cha mpito mbarikiwe sana. Nitasimama na nyinyi kwa kila.hali na.mali.

Kama.mapito niliyo kuwa nayapitia yanatokana na kurogwa au kuibiwa nyota basi NINAWALAANI wahusika wote wao na vizazi vyao vyote.

And as for you the evil spirit of poverty. I curse you to the depth of the abyss
Watu tunaochezwa na machale tumejipanga kukushtukia kuwa wewe ni Baba Keagan Bashite....
 
Cha msingi ni kumwomba ,kumtumaini na kumkabidhi bwana awe kiongozi wa maisha yako ....... Unaweza kuwa na pesa ukakosa furaha na namna nzuri za kuitumia na usipokuwa nazo ndoo balaa tupu....

Shukuru Mungu kwa ulichapata na Mwombe akufungulie njia kwa ajili ya milango mingine
 
Miezi kadhaa iliyo pita nilianzisha Uzi hapa jukwaani nikielezea "FAIDA"nilizo zipata baada ya kuwahamisha watoto wangu kutoka English Mediums na kuwapeleka kayumba.

U know what? Ilikuwa ni umasikini mkuu. Umasikini mbaya sana. The evil spirit of poverty is very evil. Ndio maana huko Shinyanga wakikujua wewe mchawi unawatia watu vifungo vya umasikini unakula mapanga tu kama ilivyo amriwa kwenye kitabu cha KUTOKA 18:22 ( KUTOKA 22:18?)

Namshukuru Mungu sasa nyota yangu ya hela imerudi tena. Biashara zimesimama. Ile ishu niliyo kuwa naisikilizia imesha tiki. Watoto wangu nimewarejesha tena shule za English Mediums na maisha mengine yanaendelea.

NINAUKATAA NA KUULAANI UMASIKINI KWA NGUVU ZANGU ZOTE ROHO YANGU YOTE NA AKILI ZANGU ZOTE.

Watu wote walio nitosa wakati napitia kipindi kigumu hasa hasa wale ambao niliwahi kuwasaidia nimewasamehe wote but I will never hang up with you again . I will never help you about anything. You will never get even a penny from me. I eill never pick up your phone. I will never call you I will never reply to ur message. ( I am.saying I will.never pick up ur phones as if namba yangu mpya mnaijua/mtaijua) I will give anyone of you a lift in any of my cars. Ntaonana na nyinyi labda kwenye misiba too and even though still I will.never talk to you again cause I don't know anything that me and you can talk about )

Na kwale ambao mlisimama na Mimi katika kipindi hicho cha mpito mbarikiwe sana. Nitasimama na nyinyi kwa kila.hali na.mali.

Kama.mapito niliyo kuwa nayapitia yanatokana na kurogwa au kuibiwa nyota basi NINAWALAANI wahusika wote wao na vizazi vyao vyote.

And as for you the evil spirit of poverty. I curse you to the depth of the abyss
Kuna kipindi nilichakaa kiasi kwamba watoto wangu utumbo uligeuka kuwa wa kijani,yaana mboga za majani ndizo zilikuwa chaguo la kwanza na la lazima. Ilinibidi tukiwa mezani tunakula nikawa ninaimba (napenda mchichaaa ni mtamu sana) vijana wanajaza tumbo muda huohuo nafikiria namna ya kuupata mlo wa pili ama wa kesho.

Nakuelewa mkuu ila itakuwa ulizingua km ulipohamishia watoto wako shule za kawaida ulitupondea sisi tunao jaribu kuwatafutia watoto wetu elimu bora ijapo kwa kiwango chetu.
 
Back
Top Bottom