Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Mimi kwa hivi vituko, Bongo sihami!Kwel Bongo Tunacheza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi kwa hivi vituko, Bongo sihami!Kwel Bongo Tunacheza
Hata Mimi nimeshangaa sanaEti waliokutosa umewasamehe..!! Kwa uliyopanga kuwafanyia hao waliokutosa, HUJAWASAMEHE..!! HUWEZI MSAMEHE MTU HUKU UNASEMA I will never do this or that to you again..!!
Leta mipango mkuuBongo ukifa masikini we fala
Leta mipango mkuu
mbinu inategemea unataka kufikia kiwango gan cha pesa mana nina za kuanzia laki moja milion mia milion 500 hadi bilion hukoShida mbinu kaka tupeane connection na mbinu hizo
Mkuu usichukulie serious sana soma jina la mtoa madaMkuu wewe ni me au ke, pia je wewe ni Mtanzania au raia wa wapi?
Kwel mkuu unahama unaenda wap kupata furaha kama hizi😃😃😃Mimi kwa hivi vituko, Bongo sihami!
Duuuh hii sasa ndiyo Jamii forums siyo jf 😄😄😄😅😅Miezi kadhaa iliyo pita nilianzisha Uzi hapa jukwaani nikielezea "FAIDA"nilizo zipata baada ya kuwahamisha watoto wangu kutoka English Mediums na kuwapeleka kayumba.
U know what? Ilikuwa ni umasikini mkuu. Umasikini mbaya sana. The evil spirit of poverty is very evil. Ndio maana huko Shinyanga wakikujua wewe mchawi unawatia watu vifungo vya umasikini unakula mapanga tu kama ilivyo amriwa kwenye kitabu cha KUTOKA 18:22 ( KUTOKA 22:18?)
Namshukuru Mungu sasa nyota yangu ya hela imerudi tena. Biashara zimesimama. Ile ishu niliyo kuwa naisikilizia imesha tiki. Watoto wangu nimewarejesha tena shule za English Mediums na maisha mengine yanaendelea.
NINAUKATAA NA KUULAANI UMASIKINI KWA NGUVU ZANGU ZOTE ROHO YANGU YOTE NA AKILI ZANGU ZOTE.
Watu wote walio nitosa wakati napitia kipindi kigumu hasa hasa wale ambao niliwahi kuwasaidia nimewasamehe wote but I will never hang up with you again . I will never help you about anything. You will never get even a penny from me. I eill never pick up your phone. I will never call you I will never reply to ur message. ( I am.saying I will.never pick up ur phones as if namba yangu mpya mnaijua/mtaijua) I will give anyone of you a lift in any of my cars. Ntaonana na nyinyi labda kwenye misiba too and even though still I will.never talk to you again cause I don't know anything that me and you can talk about )
Na kwale ambao mlisimama na Mimi katika kipindi hicho cha mpito mbarikiwe sana. Nitasimama na nyinyi kwa kila.hali na.mali.
Kama.mapito niliyo kuwa nayapitia yanatokana na kurogwa au kuibiwa nyota basi NINAWALAANI wahusika wote wao na vizazi vyao vyote.
And as for you the evil spirit of poverty. I curse you to the depth of the abyss
nini cha kushangaa hapo Mkuu kama sio unafiki. Yani Unitose wakati wa shida halafu mambo yangu yamekuwa powa unipigie simu unielezee shida zako nikusaidie? Me nimekuwa nani mkuu? Deputy Jesus au?
Ahahahahaha!!!!Kwel mkuu unahama unaenda wap kupata furaha kama hizi😃😃😃
SawaTakataka tu
Kabisa aiseeUmaskini uuone tu mwingine!
Naomba ya milioni 500 mkuumbinu inategemea unataka kufikia kiwango gan cha pesa mana nina za kuanzia laki moja milion mia milion 500 hadi bilion huko
Mkuu nimekuPM kuhusu jambo fulani.We jamaaa duhhh