Umasikini mbaya nyie bora kusikia tu. Watoto wangu nimewarejesha tena English Medium

umeandika kwa hasira sana mkuu, kuna pahala ulijikwaa that's why ukaangukia pua na hio ndo maana halisi ya MAISHA. you need not to blame no one

welcome back to the winning days 🤝
 
Ulileta uzi kuna wapuuzi wakajifanya wanajua eti bora umpeleke mtoto shule ya kata. Kupeleka english medium ni kujionyesha. Wakaanzisha na thread. Bora umerudi. Sasa uwe balozi waambie kuwapeleka huko ni umaskini. Shule zetu ni nzuri ila ufatiliaji ni mzito so bora tuwapeleke huku kwenye shule za english medium. Kwribu sana kwenye chama. Unipe namba ya whatsapp nikuadd kwenye group.
 
Rais Wa Mioyo Yetu Mheshimiwa Sana Sana
Edward Lowasa Alisema Endapo Angetwaa Madaraka Basi Angeweza Kuelekeza Nguvu Ya Serikali Yake Kwenye Vipaumbele Vinne Navyo Ni Hivi:-
1. Elimu
2. Elimu
3. Elimu
4. Elimu
 
Watu tunaochezwa na machale tumejipanga kukushtukia kuwa wewe ni Baba Keagan Bashite....
 
Cha msingi ni kumwomba ,kumtumaini na kumkabidhi bwana awe kiongozi wa maisha yako ....... Unaweza kuwa na pesa ukakosa furaha na namna nzuri za kuitumia na usipokuwa nazo ndoo balaa tupu....

Shukuru Mungu kwa ulichapata na Mwombe akufungulie njia kwa ajili ya milango mingine
 
Kuna kipindi nilichakaa kiasi kwamba watoto wangu utumbo uligeuka kuwa wa kijani,yaana mboga za majani ndizo zilikuwa chaguo la kwanza na la lazima. Ilinibidi tukiwa mezani tunakula nikawa ninaimba (napenda mchichaaa ni mtamu sana) vijana wanajaza tumbo muda huohuo nafikiria namna ya kuupata mlo wa pili ama wa kesho.

Nakuelewa mkuu ila itakuwa ulizingua km ulipohamishia watoto wako shule za kawaida ulitupondea sisi tunao jaribu kuwatafutia watoto wetu elimu bora ijapo kwa kiwango chetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…