Umasikini ni matokeo ya fikra na sio matokeo ya mazingira

Mkuu kuna wanawake kwao ndoa ina umuhimu kuliko utajiri ujue, yeye akipata ndoa anakua kafanikiwa kuliko kua tajiri. Ni ajabu ila wapo hawa viumbe wao wanaomba ndoa kuliko utajiri.
 
Hio chanjo walizuiwa kuitumia
 
Bongo mtu akimiliki kigari chake kibovu Cha milioni 5 anajiona yeye ndiye ana akili na wasiokuwa na gari basi hawana akili, wazembe, Wana laana nk

Maisha hayana formula, Kuna watu wanafanya zaidi ya waliotoboa lakini hawatoboi

Kuna watu wanahangaika na biashara kila siku lakini Mambo magumu

Kuna watu wameenda VETA wakasoma hizo fani wanazohimizwa watu wazisome lakini baada ya kurudi mtaani mambo magumu

Pia Kuna watu wamefanya Mara moja au chache na Mambo yanawaendea vizuri

Kama unapata matokeo katika unachofanyia mshukuru Mungu Kisha jitahidi kuwasapoti wenzako na sio kujiona wewe ndio mjanja na kudharau wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…