Nauona umaskini unaanzia pale mtu uko zako chuo halafu unakaa miaka zaidi ya mitatu bila kufanya kazi unakamua pesa tu za wazazi kukulipia ada na malazi bila kuingiza chochote na mwisho wa siku ajira hakuna! Huu ni umasikini tuliokubali kujitengenezea bila kujua kuwa ni chanzo cha umasikini.
Mifumo ya vyuo vya nchi zinazojali maendeleo ya watu wao' hazina mtindo huu wa kutia watu umasikini.
Tunapaswa kubadirika haraka sana ili kuendana na mabadiriko ya kiuchumi duniani.
Vyuo viwakutanishe wanafunzi angalau mara mbili au mara tatu tu kwa mwaka.
Mwezi wa kwanza kwa wiki mbili! Theni warudi nyumbani! Mwezi wa sita na mwezi wa kumi na mbili kwa wiki mbilimbili' kipindi kingine wanafunzi wasome wakiwa nyumbani huku wakifanya kazi za kujiletea maendeleo.
Hii itasaidia kupunguza umasikini kama ilivyo sasa kwa vijana wengi wanaokuwa mavyuoni mwaka mzima bila kuingiza chochote.