Umasikini wa kipato ni mbaya sana huua ndoa za watu

Milazetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2025
Posts
300
Reaction score
270
Kipato kwenye familia kisipokuwa sawa hupelekea migogoro na hata wapenzi kukasirikiana na kuachana pasipo kukusudia.Hasira za mara kwa mara pasipo sababu na hata ugomvi.Serikali inatowa tu takwimu za ndoa kuvunjika hawajikiti kutafiti kwanini ndoa zinavunjika.
 
kwel mkuu asilia kubwa ndoa znavunjika chanzo uchumi ni mdogo kwa familia haswa watu wa mijin, ila vijijn wanadunda tu miaka na miaka.
Ila wanawake wa mijin wanatamaa hawataki kuridhka na hari za waume zao.
 
Back
Top Bottom