Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikefurahi sana maana unaongea kama tumechunga kondoo wote. Day dreaming njemaSihitaji kuwa tajiri mimi ni mtumishi wa Serikali. Nina biashara kubwa Kariakoo na Mlimani City pia nina nyumba za kupangisha pamoja na mashamba na mifugo. Kwa upande wangu naona nimefanikiwa kwani nina uhakika ni watanzania wachache wenye maisha kama yangu.
Ninaijua biashara nina uhakika zaidi yako. Kabla awamu hii nimeenda China mara 17 kibiashara. Na kwangu mimi biashara ya nyumba ndio ina uhakika mkubwa wa mapato kuliko zote kwani haina supervision kubwa na haikuathirika na corona wala Kodi za TRA
Kuna rafk angu ameajiriwa kama miaka 6 nyuma hivi kuna siku ananiambia eti hataki kupoteza gharama zisizo za msingi rangi na gypsum na ile plasta anapiga mwenyewe sio kazi alienda kwa fundi akamuona siku moja akasema anafanya mwenyewe na kweli kafanya,ila hii yote ni kutokuwa na pesa ndio mawwzo kama haya ya kufanya mwenyewe yanakuja badala ya kuita mtaalamu afanye kitu cha uhakika huku akiwa na experience ya muda mrefu.Mkuu Tatizo sio tuu kujenga tatizo unajenga nini...
Nikijenga Sasahivi Nitajenga upuuzi tuu.
Hicho kitu SITAKI, nimeandika kwa herufi kubwa kama msisitiozo,
Kuliko kujenga kijumba hakieleweki Miaka hii bora niishie kupanga,
Ila siwezi jenga nyumba kama aliyojenga babu miaka ya 60s, Narudia bora niishie kupanga kuliko kuchafua ardhi.
Masuala unajenga nyumba yako, Unaiongelea mbele ya wenzako baada ya kuita nyumba unaita Kibanda(na kweli unamaanisha) mimi siwezi.
Nikitaka hicho kibanda eti ilimradi nijiegamize kwangu hata leo naweza na wengi humu naamini wanaweza...
Ila maisha ya leo kuishi kinyonge kuanzia ndani mpk nje hapana.
Ni ukweli mtupu,Hakuna watu wanapenda kujenga nyumba za kuishi duniani kama Watanzania.
Ndoto kuu ya kwanza ya Mtanzania yeyote ngozi nyeusi ni kuwa na kwake hivyo akipenda vihela huvipeleka site kujenga nyumba ya kuishi hapa ndio siri ya umasikini wa Watanzania ngozi nyeusi kuanzia.
Wenzetu Wahindi hupanga hata miaka arobaini pesa zake akiweka na kukuza biashara yake. Wazo lake la kwanza huwa nikipata pesa natafuta nyumba ya bei rahisi ya kupanga halafu hela inayobaki naanzisha biashara. Wote mashahidi Wahindi matajiri hasa lakini maisha yote wanaishi nyumba za kupanga za National Housing. Sisi Waswahili tunashindana kujenga nyumba za kuishi za kulala na kuamka za mamilioni.
Waswahili hatushindani kwenye uwekezaji tunashindana kwenye nani kujenga nyumba kali kuliko mwingine! Hata waswahili wakiudhiana wakianza kutukanana isi mojawapo huwa kwani wewe una nini? Mimi Nina kwangu nimejenga nyumba za kuishi moja hapa mjini ingine kijijini
Nchi ziliizoendelea watu huwaza kuwekeza kwanza kama ndoto ya kwanza akipata pesa.
Hapa ndio siri ya umaskini wa waswahili ilipo.ndoto zenu za kwanza ni kwenye vitu visivyozalisha pesa hasa nyumba ya kulala na kuamka.
Haswasaaa.... Admin wetu ni Elon ReeveWewe na wenzako kina nani, Space X?
Nahisi naongea na watu tuko dunia tofauti ya maisha na umri. Ngoja nikae kimyaNikefurahi sana maana unaongea kama tumechunga kondoo wote. Day dreaming njema
Wenzio kina Elon Musk sio 😂Ndiyo maana Mimi na wenzangu tunafikiria maisha Jupiter na Mars
Huyu jamaa itakuwa anakaa home mambo safi hajui tabu za kupangaKama kujenga ni umasikini, je, wenye nyumba ni masikini?
Je, ambao hawajajenga ni matajiri?
Maelezo yako hayana logical sequence.
Mfano,
Kujenga ni umasikini
Kupanga ni utajiri
Wenye nyumba ni masikini? Hapana
Wapangaji ni masikini? Hapana
Basi, kuwa tajiri haimaanishi kwamba una nyumba au huna na au unepanga.
Kwa hiyo kuwa na nyumba siyo sababu ya utajiri wala umasikini.
Wapo matajiri wasio na nyumba. Hawa wengi wapo mjini.
Wapo masikini pia wana nyumba. Wengi wa vijijini.
Mtoa mada tafuta tafsiri sahihi ya umasikini.
Natamani ningekua mpangaji wako mkuuHapana mie napenda tu ujenzi. Niliona biashara easy kwangu ni kujenga na kupangisha watu (real estate) haina stress kama biashara nyingine na pia unaifanya huku unaendelea na kazi zake za kuajiriwa. All in all mtu ukiwa na makazi yako inakuondolea sana usumbufu ingawa katika stage fulani ya maisha lazima upange ila mambo yakikaa sawa jenga. Wapangaji wangu wengi nawashauri hivi.
Huyu jamaa itakuwa anakaa home mambo safi hajui tabu za kupanga
Kweli kabisaHakuna watu wanapenda kujenga nyumba za kuishi duniani kama Watanzania.
Ndoto kuu ya kwanza ya Mtanzania yeyote ngozi nyeusi ni kuwa na kwake hivyo akipenda vihela huvipeleka site kujenga nyumba ya kuishi hapa ndio siri ya umasikini wa Watanzania ngozi nyeusi kuanzia.
Wenzetu Wahindi hupanga hata miaka arobaini pesa zake akiweka na kukuza biashara yake. Wazo lake la kwanza huwa nikipata pesa natafuta nyumba ya bei rahisi ya kupanga halafu hela inayobaki naanzisha biashara. Wote mashahidi Wahindi matajiri hasa lakini maisha yote wanaishi nyumba za kupanga za National Housing. Sisi Waswahili tunashindana kujenga nyumba za kuishi za kulala na kuamka za mamilioni.
Waswahili hatushindani kwenye uwekezaji tunashindana kwenye nani kujenga nyumba kali kuliko mwingine! Hata waswahili wakiudhiana wakianza kutukanana isi mojawapo huwa kwani wewe una nini? Mimi Nina kwangu nimejenga nyumba za kuishi moja hapa mjini ingine kijijini
Nchi ziliizoendelea watu huwaza kuwekeza kwanza kama ndoto ya kwanza akipata pesa.
Hapa ndio siri ya umaskini wa waswahili ilipo.ndoto zenu za kwanza ni kwenye vitu visivyozalisha pesa hasa nyumba ya kulala na kuamka.
HaujanielewaHivi Watoto wakiwa wakubwa watajivunia lkipi Kati ya nyumba ya mzazi wao au biashara ya mzazi ?
Ulishasikia Watoto wa Reginald Mengi wanajivunia nyumba ya mzazi wao? Wanajivunia biashara sio nyumba
ulishasikia Watoto wa Bakheresa wanajivunia nyumba ya mzazi wao ? Wanajivunia biashara
Wewe unajivunia nyumba ya mzazi wako?
Sina nyumba na napata mahitaji yote matatuMwalimu wangu wa civics kidato cha kwanza alini fundisha kuwa Human basic needs ni shelter, food and clothes.
Sijui nime eleweka???