Umasikini wazidisha biashara katili ya kuuza watoto wa kike Afghanistan

Umasikini wazidisha biashara katili ya kuuza watoto wa kike Afghanistan

We mwajuma tu kama akina mwajuma wengine.Sasa wakati unatukana wenzako hukujua kuwa hakuna tusi jipya.Bloody fool!
Ulistahili kutukanwa kwa kuja na kashfa za kidini.
Pia unaonekana hukulelewa vizuri na kufunzwa adabu vizuri.
Maana mtu anayefunzwa adabu vizuri huwa HATUSI IMANI ZA WENGINE.
Unaonekana shida yako ni toka utotoni wewe.
Ulistahili kutukanwa.
Na nakufundisha mdogo wangu USIPENDE KUTUSI IMANI ZA WATU.
Sawa kijana!?
Mwajuma babaako mzazi aloshindwa kukulea kibusara.
Usikute nabishana na mtoto wa nje ya ndoa aisee!!
 
unachosema ni kweli. na si huko tu pia nepal na bangladesh hali ni mbaya. ninafanya nao kazi wananieleza. kuna mengi yanaendelea licha ya dini kukemea.
Jamii nyingi hususan Asia mkuu hususan Bara-hindi na Bara-Arab bado wana zile tamaduni ambazo kandamifu.
Yani bado ustaarabu haujatosheleza kuvunja zile tamaduni kandamifu.
Hiyo Afghanistan na Pakistan labda iwe Pakistan imestaarabika kuna minada hadi ya mabinti bikra.
Sasa mtu badala akemee hiki kitu yeye anahusisha dini,ilhali haya mambo hayaendani na dini.
Ukanda wa Yugoslavia mpaka sasa serikali wanapambana na modern slavery,wanawake wanauzwa katika majumba ya starehe.
Badala ya kukemea tendo mtu huhusisha dini.
Aiseee!
 
Huyu mtume wa mchongo aliyeweka maji kwenye ndoo na kuwaambia wafuasi wake waangalie ameushusha mwezi kwakweli hapana
Msipende kuhusisha dini mzee kuweni na heshima.
Ukanda wa Yugoslavia pia haya yanatokea je huko nako amefika huyo mtume mnayemsemea!?
Mbona mnakua kama hamuna akili mnashindwa kuwa wapembuzi!?
Bro hata wewe unaongea UTUMBO!?
 
Hapo uongo uko wapi sasa, kwa nini watu inapofika swala la dini mnapenda sana kujitoa ufahamu na kujiona mwarabu huku ukiikana asili yako.

Hili tatizo la kuhusudu tamaduni za kigeni liko kwa waafrika tu dunia nzima na ndio maana naamini kwa asilimia mia moja kwamba wale wanaosema kwamba jamii ya watu weusi ndio wenye IQ RATING ndogo sana duniani ni wakweli kwa asilimia mia moja.

Hakuna mtu bogus kama mtu mweusi, yeye siku zote ni kusujudia tamaduni za kigeni tu. Bure kabisa.
Unafik una sura nyingi sana!

Kwa akili yako ndogo inaonekana kila unachokiona unaamini. Ulipaswa kujiuliza kwanza maswali haya:-
- How reliable is the source?, pia ujiulize
-Je hii situation ni ya jamii kiujumla ama ni watu wachache katika jamii ya mamilioni?
-Then jiulize, wao wenyewe wanaitaje hiyo scenario? kuuza mtoto ama kumuoza kwa mdai?
  • Pia jiulize ni upi umri wa binti kuelewa ulioainishwa na serikali ya nchi hiyo?
  • Halafu jiulize, je serikali iliyopo inatambua uwepo wa suala hilo na upi msimamo wake juu ya hilo?

Hiyo makala yako pia ilipaswa kujibu maswali hayo ili kukamilisha hiyo tafiti yake! ... vp kama wamechukua watu na kufanya nao maigizo?
 
Nyie ndio wale ambao bado mna kasumba ya utumwa na kamwe hamuwezi kumalizika.
 
Hiyo ni biashara au kuoa, hata hapa bongo mbona kawaida Baba wa miaka 70 kwasbb ya pesa kuoa ntoto wa miaka 20 au chini zaidi rejea kwa magi na mke wake mdogo au professor fulani........acha kukuza mambo hayo yapo popote sio umasikini wewe ungeoenda mwanao aolewe na mvuta turoli kisa wana umri sawa?
Umeambiwa watoto wa miaka 7 sio wanawake wa miaka 20
 
Nyie ndio wale ambao bado mna kasumba ya utumwa na kamwe hamuwezi kumalizika.
Kukubali vitu kibubusa ndo mentality haswa ya utumwa wa fikra. We kama unakubali tu kila kitu kinachoonekana kwenye Television ya mzungu basi wewe ndo tafsiri sahihi ya mtumwa wa fikra!

Binafsi kama itathibitika kuwa kweli hao watoto wanauzwa, na hii ni tabia inayokubalika na jamii kiujumla, na mamlaka iliyopo imeridhika na hilo basi nitakuwa upande mmoja na wewe pamoja na huyo mwenye makala, ila kinyume na hapo basi wapigeni propaganda wengine, sio mimi.
 
Sawa hamna kuoa kwa msingi ipi leta hiyo video kuonyesha hao watoto wadogo wanao nunuliwa, ndoa za utototoni zipo sana hata hapa kwetu watoto umri wa miaka 15 hulazimishwa na wazazi wao kuolewa neenda shinyanga pwani zazibar nk kama utazikuta bora mtoto aolewe mapema kuliko kuchezewa nado lengo lao, acheni black mailing, leta ushahidi kama wanauzwa sio kuolewa
Bora mtoto aolewe mapema??? Kwamba kusudi kubwa la kumzaaa au Kuumbwa ilikuwa ni kuolewa????
 
Hiyo ni biashara au kuoa, hata hapa bongo mbona kawaida Baba wa miaka 70 kwasbb ya pesa kuoa ntoto wa miaka 20 au chini zaidi rejea kwa magi na mke wake mdogo au professor fulani........acha kukuza mambo hayo yapo popote sio umasikini wewe ungeoenda mwanao aolewe na mvuta turoli kisa wana umri sawa?
Kwenye hiyo video umeona kitoto cha miaka 20?
 
Tumshukuru Mungu nchi yetu ina fulsa nyingi za kazi kwenye ardhi, maziwa, Bahari, mito, misitu, nk.
Kule hawana fulsa kama hizo, ukiwa masikini huna namna ya kujikwamua zaidi ya kuwa mtumwa.
Mwenyezi Mungu awape riski hapo baadae waachane ni hii kadhia.
 
Yote hayo Mwanzilishi ni Mtume wetu Muhammadi.
Au naongopa Waislamu wenzangu.
 
Back
Top Bottom