dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
"Katika biashara hii katili wazee wa hadi miaka 70 wananua watoto wa kike wa hadi miaka sita kwa minajili ya kuwatumia kama wake zao.Mbona unauliza swali la kijinga!?
Je kumnunua mwanamke kingono ni sawa na kumuoa!?
Huyo ameposwa au kauzwa!?
Huna akili kabisa.
Tofauti na nchi nyingi huko Afghanistan hii biashara ni halali kabisa chini ya Utawala wa Taliban!
Watoto wanaonunuliwa wanakuwa katika hali za kusikitisha sana wakilia kwa uchungu mkubwa kuchukuliwa na wanaume watu wazima wasiowafahamu au kujua wanaenda kuwafanyia nini."; mwisho wa kunukuu.
Muktadha wa hiyo nukuu ni nini?