Umasikini wazidisha biashara katili ya kuuza watoto wa kike Afghanistan

Utaratibu wa familia masikini kuuza watoto wa kike au kuwatoa kama malipo ya mkopo umekuwepo kwa muda mrefu Afghanistan ila kudorora kwa uchumi na kurudi kwa Taliban madarakani baada ya majeshi ya Marekani kuondoka kumezidisha janga hili la kibinadamu na kushuhudia familia nyingi zaidi zikiuza watoto wao wa kike kwa wanaume matajiri na wanaowadai.

Katika biashara hii katili wazee wa hadi miaka 70 wananua watoto wa kike wa hadi miaka sita kwa minajili ya kuwatumia kama wake zao.

Tofauti na nchi nyingi huko Afghanistan hii biashara ni halali kabisa chini ya Utawala wa Taliban!
Watoto wanaonunuliwa wanakuwa katika hali za kusikitisha sana wakilia kwa uchungu mkubwa kuchukuliwa na wanaume watu wazima wasiowafahamu au kujua wanaenda kuwafanyia nini.
View attachment 2990505
We unashangaa hili tu!?
Afghanistan biashara haram ni nyingi ikiwemo drug trafficking,weapon smuggling na modern slavery.
 
Hiyo ni biashara au kuoa, hata hapa bongo mbona kawaida Baba wa miaka 70 kwasbb ya pesa kuoa ntoto wa miaka 20 au chini zaidi rejea kwa magi na mke wake mdogo au professor fulani........acha kukuza mambo hayo yapo popote sio umasikini wewe ungeoenda mwanao aolewe na mvuta turoli kisa wana umri sawa?
Mkuu Afghanistan huuza watoto.
Hiyo sio ndoa,nina ndugu amewahi fika kule ila yeye alienda kwa uuzaji wa madawa ya kulevya asahivi wamemkamata Qatar kafungwa.
Afghanistan wanauza watoto pia wana modern slavery binti akiwa bikra anafanyiwa mnada kabisa na pesa yawa ndefu.
Kiuhalisia Afghanistan kuna umasikini sana na biashara haram ni nyingi.
Ukweli usemwe mkuu.
 
Muasisi wa hii tabia ya kututwaa tutoto aliianzisha mudi "the lustful one" baada ya kukitwaa kiaisha
Usiingize udini bro.
Hapo imezungumziwa kuuza watoto sio kuoa watoto.
Suala la Muhammad(s.a.w) haulifaham na halihusiani na hili na alioa Aisha akiwa na miaka 9 sio 6.
Na hakumuingilia bali alimlea mpaka alipofikisha puberty ndio akamuingilia.
Na hii hata uzunguni ilikuwepo.
Ila kubadilika kwa tamaduni kuja masuala ya utandawazi na kusoma ndio maana sasa hivi si ruhusu kumuoa mtoto chini ya miaka 18 maana utamkatisha ndoto zake.
Ila isingekua masuala ya kusoma na mengineyo watu wangekua wanaoa mabinti kabla hawajabalehe.
Hii ya hapa inahusu KUUZA MABINTI sio kuoa.
Usipende kuhusisha dini KUWA NA ADABU NA UKOME UKOMAE.
 
Hiyo ni biashara au kuoa, hata hapa bongo mbona kawaida Baba wa miaka 70 kwasbb ya pesa kuoa ntoto wa miaka 20 au chini zaidi rejea kwa magi na mke wake mdogo au professor fulani........acha kukuza mambo hayo yapo popote sio umasikini wewe ungeoenda mwanao aolewe na mvuta turoli kisa wana umri sawa?
Hizi ni propaganda za magharibi tu! hakuna jema wanaloweza kusema kuhusu jamii za kiislamu hawa watu. Adui mkubwa kabisa wa magharibi ni uislamu, hili lipo wazi kwa mwenye kuyatazama mambo bila upendeleo.

Sufficient for us is Allah, and [He is] the best Disposer of affairs
 
Usiingize udini bro.
Hapo imezungumziwa kuuza watoto sio kuoa watoto.
Suala la Muhammad(s.a.w) haulifaham na halihusiani na hili na alioa Aisha akiwa na miaka 9 sio 6.
Na hakumuingilia bali alimlea mpaka alipofikisha puberty ndio akamuingilia.
Na hii hata uzunguni ilikuwepo.
Ila kubadilika kwa tamaduni kuja masuala ya utandawazi na kusoma ndio maana sasa hivi si ruhusu kumuoa mtoto chini ya miaka 18 maana utamkatisha ndoto zake.
Ila isingekua masuala ya kusoma na mengineyo watu wangekua wanaoa mabinti kabla hawajabalehe.
Hii ya hapa inahusu KUUZA MABINTI sio kuoa.
Usipende kuhusisha dini KUWA NA ADABU NA UKOME UKOMAE.
Sawa nimekoma na kukomaa we mdwanzi,afghan ni moja ya nchi zinazoongoza kwa child marriages hakuna kipya hapo hao watoto wanachukuliwa kuwa wake za hao wazee,ni Common practices kwa nchi nyingi maskini zenye waislamu wengi kuvitwaa vitoto kingono bila shaka hata wewe unatamani ila unahofia tu utakuwa mgeni wa nyapala
 
Unaona unavyoongea USENGE!?
Hapo imezungumzwa uuzaji watoto sio ndoa za utotoni.
I wonder babaako hela alokusomeshea angenunulia malaya akatomba tu kuliko kukupeleka shule.
Narudia tena,hapo inazungumziwa UUZAJI WA MABINTI sio ndoa za utotoni.
Tofautisha girls trafficking na child marriages.
Rudi shule ukasome MBWA WEWE.
 
Hiyo ni biashara au kuoa, hata hapa bongo mbona kawaida Baba wa miaka 70 kwasbb ya pesa kuoa ntoto wa miaka 20 au chini zaidi rejea kwa magi na mke wake mdogo au professor fulani........acha kukuza mambo hayo yapo popote sio umasikini wewe ungeoenda mwanao aolewe na mvuta turoli kisa wana umri sawa?
Bikra zinatafutwa
 
Sijui faida yake nini
Unajua kuna baadhi ya mataifa bado wana mila za kijinga sana licha ya kuwa dini ipo.
Mie muislam ila Afghanistan nimeifuatilia sana ikiwemo Pakistan na Turkiye.
Hizi nchi tatu bado zina shida mahala fulani,kuna tamaduni wanazi practise ila hazipo katika UISLAM.
Mathalan binti akibakwa eti baba humuua kwa sumu ama kumzika hai ili kuficha fedheha,sasa badala ya kumkamata mbakaji ninyi mnamuua mbakwaji asiye na hatia.
Aiseee!
Hata hiyo Uturuki wale waliozaliwa mjini ndio wanafaidi,ila waliozaliwa huko vijijini Karabayir ndani ndani wanapitia unyanyasaji sana wa gender oppression ambao hata DINI YA KIISLAM HAIJARUHUSU.
 
Western propagandist hamna ukweli wowote, hizo propaganda ndo zilichezewa Africa kwa mda mrefu ili kujustify misada yao, mbona hawaandiki kuhusu ushoga unao fanywa kwa watoto wadogo katika mafunzoni ya dini
Afghan wanautamaduni wa kununua Vijana wa kiume pia...
 
We jamaa inabidi uwahi milembe asiee mtoto wa miaka sita anunuliwa na mzee wa miaka sabini unaona ni sawa.
Hiyo ni biashara au kuoa, hata hapa bongo mbona kawaida Baba wa miaka 70 kwasbb ya pesa kuoa ntoto wa miaka 20 au chini zaidi rejea kwa magi na mke wake mdogo au professor fulani........acha kukuza mambo hayo yapo popote sio umasikini wewe ungeoenda mwanao aolewe na mvuta turoli kisa wana umri sawa?
U
 
Islam is a deadly poison among all religions.
What is being done does not concern islamic laws.
Islamic laws forbids all those things which are being done.
What Afghanistan do is due to their customs accordance.
You must know to differentiate between Islamic laws and ones customs.
 
Muhammad married Aisha when she was nine..

Halafu huyo Muhammad ndio muasisi wa uislamu.

Nakwambia hivi, Islam is a deadly poison.

Huyo Muhammad ni mbakaji.

Mnajaribu kutetea ubakaji wa mtume wenu
Na dini yenu kwa ufafanuzi uchwara..
 
Utaratibu wa familia masikini kuuza watoto wa kike au kuwatoa kama malipo ya mkopo umekuwepo kwa muda mrefu Afghanistan ila kudorora kwa uchumi na kurudi kwa Taliban madarakani baada ya majeshi ya Marekani kuondoka kumezidisha janga hili la kibinadamu na kushuhudia familia nyingi zaidi zikiuza watoto wao wa kike kwa wanaume matajiri na wanaowadai.

Katika biashara hii katili wazee wa hadi miaka 70 wananua watoto wa kike wa hadi miaka sita kwa minajili ya kuwatumia kama wake zao.

Tofauti na nchi nyingi huko Afghanistan hii biashara ni halali kabisa chini ya Utawala wa Taliban!
Watoto wanaonunuliwa wanakuwa katika hali za kusikitisha sana wakilia kwa uchungu mkubwa kuchukuliwa na wanaume watu wazima wasiowafahamu au kujua wanaenda kuwafanyia nini.
View attachment 2990505
Hii story inasikitisha sana lakini waislamu tumeambiwa katika Quran kama ifuatavyo: -

"Believers, when an ungodly person brings to you a piece of news, carefully ascertain its truth, lest you should hurt a people unwittingly and thereafter repent at what you did" (Quran 49:6)

Neno la kiarabu liliotumika kumuelezea huyu "Ungodly person" ni "Fasiq" so unaweza kuangalia zaidi nini maana ya neno Fasiq na utuambie huyo mleta habari haingii hapo?
 
Muhammad married Aisha when she was nine..

Halafu huyo Muhammad ndio muasisi wa uislamu.

Nakwambia hivi, Islam is a deadly poison.

Huyo Muhammad ni mbakaji.

Mnajaribu kutetea ubakaji wa mtume wenu
Na dini yenu kwa ufafanuzi uchwara..
Chuki dhidi ya Uislamu haijaanza leo, hizo claim za kuwa Mtume (SAW) alioa binti mdogo ni hoja za karne hii kwa kuwa wenye kutoa hoja hizi hawajui historia yao wala historia ya dunia, ni kama mnadhani dunia imeanza leo baada ya USA na washirika wake kulazimisha dunia yote ifuate ustaarabu wake, tena baada ya mapinduzi ya techologia iliyofuatiwa na vita kuu mbili za dunia! ... probably hunuelewi namaanisha nini bado, uhaba wa nguvu kazi baada ya vita kuu za dunia ndio jambo la kwanza lililopelekea wanawake wahitajike katika shughuli za uzalishaji zilizokuwa mwanzo zikifanywa na wanaume, kutokana na uhitaji wa wanawake katika ajira na urasimishaji wa elimu ya kikoloni (formal European education) hii ndo ilipelekea umri wa kuolewa wa mwanamke kwenda ukiongezeka.

Ukitaka kujua kwa kiwango gani umeshikiwa akili na wazungu, just jiulize katika dunia yetu ya sasa wanawake wanachelewa kuolewa kulingana na zamani lakini je umri wa wasichana kujihusisha na mapenzi upo vipi? huku kwetu Afrika bado tupo kwenye transition as mabinti wanazuiliwa wasiolewe lakini wanajihusisha na mahusiano kisirisiri bila wazazi wao kujua (wengi wao), lakini kule kwa wenzetu ulaya na marekani ni socially acceptable practice kwa mabinti kuanza dating at 12 years old. Ninaposema socially acceptable practice namaanisha wazazi wanabariki watoto wao waanze kudate!!!!! wengine wakijidanganya eti they will take it step by step before going out all for sex with their dates ilhali dunia na internet inawatamanisha na kuwafundisha sex toka walipokuwa kindergarten, na sasa wanawafundisha na homosexualty as well in those small ages (kindergarten level).

Ni wazi wewe hujui Marry (mama yake Yesu, Allah amridhie) alikuwa na umri gani alipoolewa na Joseph, jielemishe kwanza kabla ya kufunua mdomo wako! Generation iliyopita tu hapo wanawake walikuwa wanaolewa immediately after maturity, nina hakika hata bibi zako waliolewa hivo!!!

Usikubali mkoloni akufunge minyororo ya akili baada ya kuwa alishakufungua minyororo ya mikono na miguu!
 
Muhammad alikuwa Mbakaji.

Muhammad was a Rapist.

Ulicho andika hapa ni ufafanuzi uchwara.

Dini zimefunga akili yako hadi unatetea ukatili kwa propaganda na ufafanuzi uchwara.
 
Back
Top Bottom