Chuki dhidi ya Uislamu haijaanza leo, hizo claim za kuwa Mtume (SAW) alioa binti mdogo ni hoja za karne hii kwa kuwa wenye kutoa hoja hizi hawajui historia yao wala historia ya dunia, ni kama mnadhani dunia imeanza leo baada ya USA na washirika wake kulazimisha dunia yote ifuate ustaarabu wake, tena baada ya mapinduzi ya techologia iliyofuatiwa na vita kuu mbili za dunia! ... probably hunuelewi namaanisha nini bado, uhaba wa nguvu kazi baada ya vita kuu za dunia ndio jambo la kwanza lililopelekea wanawake wahitajike katika shughuli za uzalishaji zilizokuwa mwanzo zikifanywa na wanaume, kutokana na uhitaji wa wanawake katika ajira na urasimishaji wa elimu ya kikoloni (formal European education) hii ndo ilipelekea umri wa kuolewa wa mwanamke kwenda ukiongezeka.
Ukitaka kujua kwa kiwango gani umeshikiwa akili na wazungu, just jiulize katika dunia yetu ya sasa wanawake wanachelewa kuolewa kulingana na zamani lakini je umri wa wasichana kujihusisha na mapenzi upo vipi? huku kwetu Afrika bado tupo kwenye transition as mabinti wanazuiliwa wasiolewe lakini wanajihusisha na mahusiano kisirisiri bila wazazi wao kujua (wengi wao), lakini kule kwa wenzetu ulaya na marekani ni socially acceptable practice kwa mabinti kuanza dating at 12 years old. Ninaposema socially acceptable practice namaanisha wazazi wanabariki watoto wao waanze kudate!!!!! wengine wakijidanganya eti they will take it step by step before going out all for sex with their dates ilhali dunia na internet inawatamanisha na kuwafundisha sex toka walipokuwa kindergarten, na sasa wanawafundisha na homosexualty as well in those small ages (kindergarten level).
Ni wazi wewe hujui Marry (mama yake Yesu, Allah amridhie) alikuwa na umri gani alipoolewa na Joseph, jielemishe kwanza kabla ya kufunua mdomo wako! Generation iliyopita tu hapo wanawake walikuwa wanaolewa immediately after maturity, nina hakika hata bibi zako waliolewa hivo!!!
Usikubali mkoloni akufunge minyororo ya akili baada ya kuwa alishakufungua minyororo ya mikono na miguu!