Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viongozi wanatokea kwenye jamii isiyojielewa,exceptions wanaViongozi ndio watu wa kwanza kabisa kulaumiwa katika hili, Kila kitu wanacho mikononi mwao lakini daima wamechagua kujinufaisha wao kuliko nchi
ndio maana unashangaa pamoja na madini yote tuliyonayo na rasilimali zingine zote tulizo nazo kabla hata uhuru zimeshindwa kutu nufaisha kwa usahihi,
eti hadi Leo bado kuna mahali hapa nchini kuna ndugu zetu bado wanatumia maji ya vidimbwi ambayo yalipaswa kutumiwa na wanyama
Bado kuna maeneo wanatembea kilomita za kutosha kwenda shule na zahanati
Nakubali kwamba serikali imejitahidi kufanya mambo mengi mazuri lakini walipaswa kufanya zaidi kutokana na utitiri wa rasimali tulizo nazo
Policy make unazaliwa nayo au inatokana na maandalizi yaliyopo?Viongozi ni policy makers ukielewa hiyo utajua ninachosema
Inalinganishwa gharama na mfumo wa malezi ya mwafrika na mzungu ama mchina?Wa kulaumiwa ni sisi wenyewe.
Unapozaa watoto watatu au wa nne, kama gharama za kulea mtoto mmoja ni wastani wa Tsh mil 2 kwa mwaka; kwa miaka 30 huyo mtoto atakugharimu milioni 60.
Mchina mwenye mtoto mmoja atagharimika milioni 60, kulea.
Mzungu mwenye watoto wawili atagharimika mil 120 kulea.
Mbongo mwenye watoto watatu atagarimika mil 180 kulea
Na Mtz mwenye watoto wanne atagharimika mil 240 kulea.
Kwa hiyo, sio kwamba wachina na wazungu wametuzidi utajiri, No! Wanapata unafuu wa maisha hivyo kuokoa pesa nyingi kwa kujenga familia ndogo ndio maana wanaweza kununua magari mazuri na hata kufanya utalii.
Afrika itaweza kuondokana na umaskini endapo tu, familia zitajikita kwenye kuzaa mtoto mmoja hadi wawili.
Tofauti na hapo, wazazi wengi wenye watoto wengi watakufa masikini kwa kuwa fedha zao nyingi zimeenda kwenye kulea familia.
Logic ipo hapa..... tatizo kubwa la africa ni namna ya ku_control family planing.Wa kulaumiwa ni sisi wenyewe.
Unapozaa watoto watatu au wa nne, kama gharama za kulea mtoto mmoja ni wastani wa Tsh mil 2 kwa mwaka; kwa miaka 30 huyo mtoto atakugharimu milioni 60.
Mchina mwenye mtoto mmoja atagharimika milioni 60, kulea.
Mzungu mwenye watoto wawili atagharimika mil 120 kulea.
Mbongo mwenye watoto watatu atagarimika mil 180 kulea
Na Mtz mwenye watoto wanne atagharimika mil 240 kulea.
Kwa hiyo, sio kwamba wachina na wazungu wametuzidi utajiri, No! Wanapata unafuu wa maisha hivyo kuokoa pesa nyingi kwa kujenga familia ndogo ndio maana wanaweza kununua magari mazuri na hata kufanya utalii.
Afrika itaweza kuondokana na umaskini endapo tu, familia zitajikita kwenye kuzaa mtoto mmoja hadi wawili.
Tofauti na hapo, wazazi wengi wenye watoto wengi watakufa masikini kwa kuwa fedha zao nyingi zimeenda kwenye kulea familia.
Viongozi wanatokea kwenye jamii isiyojielewa,exceptions wana
Policy make unazaliwa nayo au inatokana na maandalizi yaliyopo?
Umpe elimu mbovu utegemee sera nzuri si ndio? Unaona inawezekana?
Ndio wenzenu walioendelea walipeleka watu wao wakapate kitu Kipya huko kwa walioendelea then wakrudi kuja kujenga na ku instill altitude nzuri za maendel
Wew umekaririshwa na wazungu kuwa watoto wengi kuzaa Sana ni umaskini.Logic ipo hapa..... tatizo kubwa la africa ni namna ya ku_control family planing.
Huna zaa watoto then wanakosa msingi na ndo matokeo ya umasikini...
Sent using Jamii Forums mobile app